Nape Nnauye: Mikataba ya Madini, Wapinzani wasipuuzwe kabisa

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Habari wakuu,

Nape Nnauye amepinga vitendo vinavyofanywa na CCM vya kuwabagua watu wa Vyama vya Upinzani na kuwaona ni Wasaliti katika hili swala la Madini na Mchanga unaoshikiliwa. Hili swala halifai na halitatufikisha popote kama taifa. Ni wakati wa kwenda pamoja kwenye hii vita ili tufanikiwe bila kudharau mawazo ya mtu yoyote.

Hii ni vita yetu sote, Tushikamane, hata kama wana hoja, wajibiwe kwa hioja sio matusi. Ameshauri Serikali iangalie kwa makini hili swala ili kuondoa Mashaka.

Amempongeza rais Magufuli kwa kuzuia Mchanga.

Amekosoa pia sela za mapato. nasema mipango yote inalenga kubana na kukamua walipa Kodi.

My Take:

Namshukuru Nape Nnauye kwa kuweza kujitambua na kuamua kuwaamsha wana CCM.
 
si ajabu wapinzani walimwita Vuvuzela ,yeye aseme tu Chadema,kwani kama upinzani ,mbona siku ile ya kusoma ripoti ya pili walialikwa kushuhudia hiyo ripoti nilimuona Lipumba,Mapesa,na Mrema na kama kawaida yao Chadema walisusa na wamebaki kupinga kila ripoti inapotolewa,nadhani Vuvuzela Nape angewasihi hao wapinzani(Chadema) waache kuibagua CCM,kwa kuishabikia ACCACIA kwenye mambo ya kitaifa,huyu mheshimwa toka ametoswa uwaziri basi ishakuwa nongwa kila akipata mpenyo yeye ni kuitupia vineno CCM na serikali yake ni kama Lissu,yote hiyo ni kutaka kupata kiki kutoka kwa wapinzani,kaka hao wapinzania wanakucheka kwa ujuha wako,ndio maana Chadema hupinga kila jambo hata likiwa zuri ,angejiuliza kwanza ni kipi ambacho akina Lissu wameunga mkono serikali au anadhani hawayaoni hayo mazuri ,kwa Chadema hizo ni propaganda mujarabu kwao.Anachokifanya Nape ni kujaribu kutoboa mtumbwi uliombeba,nikirudia kauli ya Mzee Rashid Kawawa watu wa aina hii ni wa kutoswa
Weka hapa ushahidi kama chadema walialikwa!
Au hisia Ndio zinakuendesha?
 
Habari wakuu,

Nape Nnauye amepinga vitendo vinavyofanywa na CCM vya kuwabagua watu wa Vyama vya Upinzani na kuwaona ni Wasaliti katika hili swala la Madini na Mchanga unaoshikiliwa. Hili swala halifai na halitatufikisha popote kama taifa. Ni wakati wa kwenda pamoja kwenye hii vita ili tufanikiwe bila kudharau mawazo ya mtu yoyote.

Hii ni vita yetu sote, Tushikamane, hata kama wana hoja, wajibiwe kwa hioja sio matusi. Ameshauri Serikali iangalie kwa makini hili swala ili kuondoa Mashaka.

Amempongeza rais Magufuli kwa kuzuia Mchanga.

Amekosoa pia sela za mapato. nasema mipango yote inalenga kubana na kukamua walipa Kodi.

My Take:

Namshukuru Nape Nnauye kwa kuweza kujitambua na kuamua kuwaamsha wana CCM.
Nape anaweweseka kwa kupoteza uwaziri.
 
Nape anazidi kuwa mpumbavu si ajabu wapinzani walimwita Vuvuzela ,yeye aseme tu Chadema,kwani kama upinzani ,mbona siku ile ya kusoma ripoti ya pili walialikwa kushuhudia hiyo ripoti nilimuona Lipumba,Mapesa,na Mrema na kama kawaida yao Chadema walisusa na wamebaki kupinga kila ripoti inapotolewa,nadhani Vuvuzela Nape angewasihi hao wapinzani(Chadema) waache kuibagua CCM,kwa kuishabikia ACCACIA kwenye mambo ya kitaifa,huyu mheshimwa toka ametoswa uwaziri basi ishakuwa nongwa kila akipata mpenyo yeye ni kuitupia vineno CCM na serikali yake ni kama Lissu,yote hiyo ni kutaka kupata kiki kutoka kwa wapinzani,kaka hao wapinzania wanakucheka kwa ujuha wako,ndio maana Chadema hupinga kila jambo hata likiwa zuri ,angejiuliza kwanza ni kipi ambacho akina Lissu wameunga mkono serikali au anadhani hawayaoni hayo mazuri ,kwa Chadema hizo ni propaganda mujarabu kwao.Anachokifanya Nape ni kujaribu kutoboa mtumbwi uliombeba,nikirudia kauli ya Mzee Rashid Kawawa watu wa aina hii ni wa kutoswa

Hivi kwa akili yako dhofuli hali, unawaona Lipumba, Mapesa na Mrema ni Wapinzani?
 
Mzazi mzuri ni yule anayekubali kukosolowa - CCM ni mzazi anayejua kila jambo!!

Rule: CCM is always right,
if CCM is wrong......
refer to the rule above.
 
Nape anazidi kuwa mpumbavu si ajabu wapinzani walimwita Vuvuzela ,yeye aseme tu Chadema,kwani kama upinzani ,mbona siku ile ya kusoma ripoti ya pili walialikwa kushuhudia hiyo ripoti nilimuona Lipumba,Mapesa,na Mrema na kama kawaida yao Chadema walisusa na wamebaki kupinga kila ripoti inapotolewa,nadhani Vuvuzela Nape angewasihi hao wapinzani(Chadema) waache kuibagua CCM,kwa kuishabikia ACCACIA kwenye mambo ya kitaifa,huyu mheshimwa toka ametoswa uwaziri basi ishakuwa nongwa kila akipata mpenyo yeye ni kuitupia vineno CCM na serikali yake ni kama Lissu,yote hiyo ni kutaka kupata kiki kutoka kwa wapinzani,kaka hao wapinzania wanakucheka kwa ujuha wako,ndio maana Chadema hupinga kila jambo hata likiwa zuri ,angejiuliza kwanza ni kipi ambacho akina Lissu wameunga mkono serikali au anadhani hawayaoni hayo mazuri ,kwa Chadema hizo ni propaganda mujarabu kwao.Anachokifanya Nape ni kujaribu kutoboa mtumbwi uliombeba,nikirudia kauli ya Mzee Rashid Kawawa watu wa aina hii ni wa kutoswa
Mfianchi siasa kali daima haijawahi kusaidia popote. Ukitofautiana na mtu usimbague bali msikilize na kuzitafakari hoja zake.
 
Habari wakuu,

Nape Nnauye amepinga vitendo vinavyofanywa na CCM vya kuwabagua watu wa Vyama vya Upinzani na kuwaona ni Wasaliti katika hili swala la Madini na Mchanga unaoshikiliwa. Hili swala halifai na halitatufikisha popote kama taifa. Ni wakati wa kwenda pamoja kwenye hii vita ili tufanikiwe bila kudharau mawazo ya mtu yoyote.

Hii ni vita yetu sote, Tushikamane, hata kama wana hoja, wajibiwe kwa hioja sio matusi. Ameshauri Serikali iangalie kwa makini hili swala ili kuondoa Mashaka.

Amempongeza rais Magufuli kwa kuzuia Mchanga.

Amekosoa pia sela za mapato. nasema mipango yote inalenga kubana na kukamua walipa Kodi.

My Take:

Namshukuru Nape Nnauye kwa kuweza kujitambua na kuamua kuwaamsha wana CCM.
Kwa mwenendo wake huu wa sasa, asahau kupitishwa kama mgombea huko Mtama. Atakatwa mtama ambao katika maisha yake hakuwahi kuufikiria. Yeye na Bashe nawaonea huruma.
 
Nape anazidi kuwa mpumbavu si ajabu wapinzani walimwita Vuvuzela ,yeye aseme tu Chadema,kwani kama upinzani ,mbona siku ile ya kusoma ripoti ya pili walialikwa kushuhudia hiyo ripoti nilimuona Lipumba,Mapesa,na Mrema na kama kawaida yao Chadema walisusa na wamebaki kupinga kila ripoti inapotolewa,nadhani Vuvuzela Nape angewasihi hao wapinzani(Chadema) waache kuibagua CCM,kwa kuishabikia ACCACIA kwenye mambo ya kitaifa,huyu mheshimwa toka ametoswa uwaziri basi ishakuwa nongwa kila akipata mpenyo yeye ni kuitupia vineno CCM na serikali yake ni kama Lissu,yote hiyo ni kutaka kupata kiki kutoka kwa wapinzani,kaka hao wapinzania wanakucheka kwa ujuha wako,ndio maana Chadema hupinga kila jambo hata likiwa zuri ,angejiuliza kwanza ni kipi ambacho akina Lissu wameunga mkono serikali au anadhani hawayaoni hayo mazuri ,kwa Chadema hizo ni propaganda mujarabu kwao.Anachokifanya Nape ni kujaribu kutoboa mtumbwi uliombeba,nikirudia kauli ya Mzee Rashid Kawawa watu wa aina hii ni wa kutoswa
Wewe mfia chama hao wote uliowataja sio wapinzani bali matawi ya CCM

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom