Nape Nnauye maji ya shingo Mtama

mtama si ndo watu wanazikana kichama.....ukiwa na sherehe inahudhuliwa na members wa chama chako tu...aiseee kwel matusi huleta mfarakano....ukipanda mbigili utavuna mbigili tu
 
Wananchi wa Mtama hawataki hata kumsikia.....

1. Wanasema siyo mkazi wa mtama. (Yahya kama yule mwenzake wa Moshi).

2. Siyo mzaliwa wa Mtama.

3. Wamechukizwa kuandaliwa mrithi na Membe ambaye naye alishachokwa.

4. Kitendo chake Cha kulazimisha goli la mkono kwenye kura za maoni.


Anapumulia Mashine.
 
Labda anafanya kampeni za ndani, nyumba kwa nyumba.

KWani pesa za kampeni zote alimaliza katik kuhonga kura za maoni pale Mtama.
 

This weekend nilikuwa Mtama,na jana nimepita tena.Swali la kwanza kuuliza "Kampeni hapa zipoje?"japo niliongea na watu wachache,ila wanazungumzia juu ya nguvu ya Suleiman Mathew "MESSI" Kuna kata kumi raia wamemwambia asiende kupiga kampeni wao wameshaamua kuwa watamchagua MESSI.Halafu jamaa anatumia PICHA KUBWA zinazowekwa kando ya barabara na maeneo yenye mkusanyiko wa watu.Lakini Nimeona Picha za Nape pia zimebandikwa kwenye miti na minazi kadhaa. Kitu kingine ni kwamba huyu "MESSI" anatumia kampeni za door to door. Huko anawauliza maswali raia "UNAMJUA MTOTO WA FLANI?" raia wanasema hapana; Anawauliza sasa mwanao akikosa elimu mbunge atamtetea wakat mwanae hasomi hapa?.Kampeni hizi zimeonesha kuwashawishi raia juu ya mgombea ambaye wameshajengewa imani kuwa ni "WAKUJA"
 
Nape hawezi kushinda, aombe mungu atende muujiza magufuri ashinde amteue viti maalum kama mwanamke ingawa hiyo ndoto haitatokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…