babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,326
Uso wake tu unadhibitisha hilo.Ni ukweli usiopingika kuwa Nape ana hali mbaya sana Mtama na kwa siku tatu nilizokaa Mtama Nape atashindwa kwa kishindo.
Kuna watu wanajiuliza huyu kijana mbona haonekani tena kwenye jukwaa la Magufuli, jamani ukimya wa Nape sio bure Suleiman Matthew anakaba mpaka penalt Mtama huko Nape ataangushwa kama furushi la Loba la mchele.
Mods uzi msiuunge popote kwani mimi siku mbili zilizopita nilikuwa mtama na nimejionea mwenyewe
labda ashinde bafuni.
I've been there we endelea kuneng'eneka na ushabiki wa mtandaoni kujifariji!
ulikua na Nape Nnauye bafuni?
Usinizoee kenge wewe
Jibu swali..matusi ya nini??Usinizoee kenge wewe