Nape Nnauye: Kwa kazi nzuri ya Rais Magufuli, CHADEMA waache Siasa za enzi za Kikwete la sivyo watakimbiwa na wanachama wao wote.

Huyu jimboni kwake tu maji hakuna anapanua panua mdomo kwenye majimbo ya watu na kusifia ujinga
Kusifia ama kutosifia bado haileti maji mzee, sema Nape na Bashe wamewekwa mtu kati.
Kumbuka Mchawi mpe mwanao akulelee.
Magufuli @OmzilankendeMuyago is a genius.... aahhhh!!
 
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye, jana akihutubia Mkutano wa Kampeni za Ubunge katika Kijiji cha Mbizi, Jimbo la Buyungu, wilayani Kakonko, alidai kuwa, CCM ilimpitisha Dk. John Pombe Magufuli mwaka 2015 kuwania urais kwa kuwa, walimtaka mtu ambaye angeweza kudhibiti matumizi mabaya ya fedha za Serikali.Vilevile, mtu asiyewachekea wezi na pia kubana mianya yote ya rushwa.
Aliwaonya Wapinzani kuwa, kutokana na kazi nzuri inayoendelea kufanywa na Rais Magufuli, Wapinzani wanatakiwa kuacha Siasa zao za kipindi kilichopita kwani wakiendelea watakimbiwa na wanachama wote.
Alidai wanaoilalamikia Serikali ya Awamu ya Tano, ni wale waliozoea kuiba fedha za wananchi ambao kwa sasa wamebanwa. Huyu ndiye Kiongozi anayehitajika.... hakuna jambo ambalo Watanzania wanaweza kumsema vibaya Rais Magufuli.
Aliwaonya Wapinzani kuwa, lengo la kuwepo kwa Mfumo wa Vyama vingi ni kuikosoa Serikali, siyo kuipinga inapofanya maendeleo.

View attachment 828430
Naona kama Nape kageuka 180°,kaona nini?Whatever the case may be,kachukua maamuzi mazuri.Hakuna sababu yeyote ya kuendelea kusigana na serikali iliyoko madarakani,tena inayofanya kazi nzuri kama ambavyo anashuhudia yeye mwenyewe,you only stands to loose.Asamehewe bure,hakujua analolitenda.
 
Naona kama Nape kageuka 180°,kaona nini?Whatever the case may be,kachukua maamuzi mazuri.Hakuna sababu yeyote ya kuendelea kusigana na serikali iliyoko madarakani,tena inayofanya kazi nzuri kama ambavyo anashuhudia yeye mwenyewe.Asamehewe bure,hakujua analolitenda.
Well said mzee.
 
Nape huyoooooo uwaziri
Akitulia vyema na kumu-acknowledge Magufuli, walahi anaweza kurudishwa kutokana na ukame wa Mawaziri huko Kusini.
Mbona Anne Kilango Malecela alitumbuliwa ukuu wa Mkoa wa Shy lakini baadaye Rais alimrudisha bungeni?
Nape tulia mzee, coz Magufuli is now the real Kingpin in Town.
 
Back
Top Bottom