This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,903
- 4,979
Nani atamwamini Nape. Kwanza kwa lipi hadi aaminike.
Kusifia ama kutosifia bado haileti maji mzee, sema Nape na Bashe wamewekwa mtu kati.Huyu jimboni kwake tu maji hakuna anapanua panua mdomo kwenye majimbo ya watu na kusifia ujinga
Naona kama Nape kageuka 180°,kaona nini?Whatever the case may be,kachukua maamuzi mazuri.Hakuna sababu yeyote ya kuendelea kusigana na serikali iliyoko madarakani,tena inayofanya kazi nzuri kama ambavyo anashuhudia yeye mwenyewe,you only stands to loose.Asamehewe bure,hakujua analolitenda.Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye, jana akihutubia Mkutano wa Kampeni za Ubunge katika Kijiji cha Mbizi, Jimbo la Buyungu, wilayani Kakonko, alidai kuwa, CCM ilimpitisha Dk. John Pombe Magufuli mwaka 2015 kuwania urais kwa kuwa, walimtaka mtu ambaye angeweza kudhibiti matumizi mabaya ya fedha za Serikali.Vilevile, mtu asiyewachekea wezi na pia kubana mianya yote ya rushwa.
Aliwaonya Wapinzani kuwa, kutokana na kazi nzuri inayoendelea kufanywa na Rais Magufuli, Wapinzani wanatakiwa kuacha Siasa zao za kipindi kilichopita kwani wakiendelea watakimbiwa na wanachama wote.
Alidai wanaoilalamikia Serikali ya Awamu ya Tano, ni wale waliozoea kuiba fedha za wananchi ambao kwa sasa wamebanwa. Huyu ndiye Kiongozi anayehitajika.... hakuna jambo ambalo Watanzania wanaweza kumsema vibaya Rais Magufuli.
Aliwaonya Wapinzani kuwa, lengo la kuwepo kwa Mfumo wa Vyama vingi ni kuikosoa Serikali, siyo kuipinga inapofanya maendeleo.
View attachment 828430
Well said mzee.Naona kama Nape kageuka 180°,kaona nini?Whatever the case may be,kachukua maamuzi mazuri.Hakuna sababu yeyote ya kuendelea kusigana na serikali iliyoko madarakani,tena inayofanya kazi nzuri kama ambavyo anashuhudia yeye mwenyewe.Asamehewe bure,hakujua analolitenda.
Akitulia vyema na kumu-acknowledge Magufuli, walahi anaweza kurudishwa kutokana na ukame wa Mawaziri huko Kusini.Nape huyoooooo uwaziri