Madimbaone
Member
- Feb 19, 2016
- 16
- 6
Mkuu huyo ni chinga au mtoto wa mbeya kwa mzee wa mvi?Kwa mtiririko niijuao wa kumpata Mkurugenzi wa Taasisi ya Uma kama TBC hakuna ubishi kuwa Nape kausika kwa asilimia mia moja kama Waziri mwenye dhamana ya Habari!
Mtakumbuka wiki tatu hivi zilizopita baada ya Magufuli kuteua Mwenyekiti wa bodi ya TBC, waziri husika (Nape) aliteua wajumbe wa bodi na ndani yake akamuweka Dr. Rioba. Nilistuka kidogo, nilipofuatilia ikaonekana hawako mbali sana huwa wanaongea!
Ghafla leo Dr. Rioba kateuliwa na Rais mkurugenzi wa TBC. Mchakato wa kuteua Mkurugenzi wa TBC huanzia kwa Waziri husika na hapa ni Nape Nnauye, mapendekezo hupelekwa kwa Rais kwa uteuzi!!! Sasa Nape huyuhyu mnazi wa CCM kampendekeza Dr. Rioba??!!! Ama kweli Nape kaanza kubadilika sana. Tutegemee maajabu mengi kutoka kwa chinga huyu!!
Inakuwa ngumu sana kichaa kupona moja kwa moja kwa 100%Sidhani kama nape anaweza kubadilika labda tumpe muda
Kwa siasa za kibongo hiyo kitu unayo dhani inaweza iwe haina existence..tena kusiwe na correlation yoyote ya huyo waziri kushauri huyo dr ateuliwe ili kuleta tija rather to win public attention and trust.Kwa mtiririko niijuao wa kumpata Mkurugenzi wa Taasisi ya Uma kama TBC hakuna ubishi kuwa Nape kausika kwa asilimia mia moja kama Waziri mwenye dhamana ya Habari!
Mtakumbuka wiki tatu hivi zilizopita baada ya Magufuli kuteua Mwenyekiti wa bodi ya TBC, waziri husika (Nape) aliteua wajumbe wa bodi na ndani yake akamuweka Dr. Rioba. Nilistuka kidogo, nilipofuatilia ikaonekana hawako mbali sana huwa wanaongea!
Ghafla leo Dr. Rioba kateuliwa na Rais mkurugenzi wa TBC. Mchakato wa kuteua Mkurugenzi wa TBC huanzia kwa Waziri husika na hapa ni Nape Nnauye, mapendekezo hupelekwa kwa Rais kwa uteuzi!!! Sasa Nape huyuhyu mnazi wa CCM kampendekeza Dr. Rioba??!!! Ama kweli Nape kaanza kubadilika sana. Tutegemee maajabu mengi kutoka kwa chinga huyu!!
bhaaa!Inakuwa ngumu sana kichaa kupona moja kwa moja kwa 100%
Naamini yeye sio magambaKwani wategemea Rioba yuko upande upi?
Hahahahaha kweli kabisa mkuuInakuwa ngumu sana kichaa kupona moja kwa moja kwa 100%
Loooh!!! haya.Mkuu huyo ni chinga au mtoto wa mbeya kwa mzee wa mvi?