Nape Nnauye hatanii, tazama juu ya korosho

Namukumbuka marehemu Kinyondo Sebastinian aliyewatetea wakulima wa mkoa wa Kagera kuhusu kutelemuka kwa bei ya kahawa alisimama imara bungeni mpaka bei hiyo ikarekebishwa
 
Namukumbuka marehemu Kinyondo Sebastinian aliyewatetea wakulima wa mkoa wa Kagera kuhusu kutelemuka kwa bei ya kahawa alisimama imara bungeni mpaka bei hiyo ikarekebishwa
Kipindi kile wabunge wengi walikuwa wakweli na wawakilishi wa wananchi walio wachagua lkn sasa wapo kumtumikia aliye juu

In God we Trust
 
Hakuna zao lisilokadirika bwana!!!
 
Hakuna zao lisilokadirika bwana!!!

Huyu bwana nashauri aache kuji-strain kwa kukaa anatafuta tafuta maneno ya ku-release kwenye media kwa sababu bado yanakuwa si tiba sahihi ya pressure aliyonayo kifuani kwake. Anatakiwa akae chini na kutafakari halafu achukue hatua ambayo itakua ni ya manufaa si kwake tu bali na kwa wengine pia. Kukaa anaiponda Serikali wakati aliwahi kula kiapo, si hekima sana. Na kwa taarifa tu ni kwamba unapokula kiapo, unajifunga kuwa hata kama kutakuwa na mabaya ambayo wewe utayaona, hutakiwi kuyasema wewe kama wewe, ila unaweza ukamweleza mtu mwingine akayasema kwa niaba yako, na pasipo watu kujua kuwa anayasema kwa niaba yako! Ana maumivu makali sana kicfuani na wakati mwingine kuumia kwa kiwango hii hakufai sana kwa mtu ambaye ni mwanasiasa, kwa sababu kwenye siasa kuna mambo mengi mno!
 
Ni ushauri mzuri sana usiyo wa mihemuko ya kiitikadi kabisa,hongera sana mkuu
In God we Trust
 
huyu alizungumzia uhalisia wa bashite kuvamia clouds tv ndio akaondolewa kwenye cheo na basha wake bashite, huyu jamaa hanaga unafki
Asante sana kwa mchango wenye kujenga na usiyo wa kiitikadi

In God we Trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…