Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,277
sasa kama huu ndio uelekeo wenyewe unadhani kwanini katibu mwenezi aendelee kuwepo kwenye kundi hili si bora ajiuzulu ili jamii watambue kuwa ni mtu mwenye msimamo
daima namtambua sana Mnauye jr. toka katika mapambano yake ndani ya UVCCM na nadhani ni mwanasiasa ambaye angekuja kuwa mwanasiasa makini mbeleni lakini mfumo wa CCM ndio auwezi kumruhusu kuwa hivyo na mtandao umejaribu kumweka karibu na kujifanya unamtetea kipindi alichotishiwa kufukuzwa ndani ya CCM na baada ya hapo wanamtumia kama kinga dhidi ya kushambuliwa moja kwa moja na kundi lililokataa kuendelea kuwa chini ya mtandao
Mnauye jr. mwenendo wako wa siasa unaokwenda nao si sahihi haiwezekani wewe uwe katibu mwenezi na mjumbe wa CC ndani ya chama lakini waweze kukuweka kwenye chupa

Usisahau .....THE STRONGEST MAN INTHE WORLD IS THE ONE WHO STANDS ALONE"
sio avue gamaba ikiwezekana ajichune ngozi kabisaaa.Nape , kuna FISADI jingine limeogezeka , MSEKWAa ,
huyu atavua gamba lini ?
Ushauri..
Nawashauri ili tutendee haki heshima zenu SIKU MIMI NA CHILIGATI TUKISHAENDA IGUNGA MJE HAPA KUOMBA RADHI KWA UONGO MNAOJARIBU KUUZUSHA HAPA...
HIVI KAMA JAMBO HUNA UHAKIKA NALO KWANINI ULISEME KAMA VILE UNA UHAKIKA NALO?...kula weka akiba..
Wanaodai Nape naganga njaa. NJAA IPI?????!!!! SHAME ON YOU... OR NAPE ANATUMIWA NA WAZEE...jamani hata historia haiwapi kujifunza Nape ni wa aina gani mpaka atumiwe? SI BUSARA KWA MTU MZIMA KUDANGANYA WATU WAZIMA NA AKILI ZAO,,, HAYA NI MATUSI KWAOOO
Ushauri..
Nawashauri ili tutendee haki heshima zenu SIKU MIMI NA CHILIGATI TUKISHAENDA IGUNGA MJE HAPA KUOMBA RADHI KWA UONGO MNAOJARIBU KUUZUSHA HAPA...
HIVI KAMA JAMBO HUNA UHAKIKA NALO KWANINI ULISEME KAMA VILE UNA UHAKIKA NALO?...kula weka akiba..
Wanaodai Nape naganga njaa. NJAA IPI?????!!!! SHAME ON YOU... OR NAPE ANATUMIWA NA WAZEE...jamani hata historia haiwapi kujifunza Nape ni wa aina gani mpaka atumiwe? SI BUSARA KWA MTU MZIMA KUDANGANYA WATU WAZIMA NA AKILI ZAO,,, HAYA NI MATUSI KWAOOO

Usisahau .....THE STRONGEST MAN INTHE WORLD IS THE ONE WHO STANDS ALONE"
Katika mtu mwenye upeo mdogo sana basi ni wewe,sijui umesoma wapi,nimekuwa nikifatilia sana habari zako lakini inaonekana ni mtu wa kufagilia chama,una ganga njaa tu,wewe huwezi kuwa kiongozi,hata nyerere alisema kuwa watu ambao hawafai kuwa viongozi tutakula nao tutacheka nao lakini hutopewa uwongozi,na ndio mana unadunda katika jimbo lako,utabakia hivyo hivyo kibaraka cha wazee.Wenyewe kina nani? Ninachohubiri kisichotekelezeka ni kipi? Hivi ni kweli leo mtu anaweza kusimama hadharani bila aibu akasema hakitekelezeki???? Nilipoanza mlisema, matokeo yalipoanza kupatikana mnasema halitekelezeki..... Kwakweli wengi wenu kwakuwa ni vijana nashangaa nchi hii itakuaje baada ya mda mfupi kama hili ndo Taifa lenye hiki kizazi

Wenyewe kina nani? Ninachohubiri kisichotekelezeka ni kipi? Hivi ni kweli leo mtu anaweza kusimama hadharani bila aibu akasema hakitekelezeki???? Nilipoanza mlisema, matokeo yalipoanza kupatikana mnasema halitekelezeki..... Kwakweli wengi wenu kwakuwa ni vijana nashangaa nchi hii itakuaje baada ya mda mfupi kama hili ndo Taifa lenye hiki kizazi
Napenda kuchukua nafasi hii kukushauri ewe katibu uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, najua upo katika harakati za kutekeleza azma ya mapinduzi katika chama kama kinavyo julikana.

Ushindi kiduchu wa asilimia 61 wa uprezidaa mlioupata umeporomoka toka ule wa mwaka 2005 wa asilimia 100,sasa hapo inaonyesha kuna madudu mengi CC imeyafanya na wa Tz wamegutuka na kusepa, kama mmeweza kupoteza asilimia zaidi ya ishirini, kwa hesabu za kawaida tu, mwaka 2015 mkipoteza tena zingine 20, mtapata asilimia 40 au chini ya hapo na ndo itakuwa mwisho wa CCM, sasa bro najua unatumia nguvu kubwa sana kusafisha chama na kuwakomalia vinara wa ufisadi waachie ngazi.

Baba huo moto huuwezi, hiyo vita itakupeleka pabaya,watakumaliza. Uko mmoja wako zaidi ya Mia moja, kama vipi sepa Chama no usalama wako, other wise watakupoteza... Ushauri wa bure,ni mimi mwana CCJ, mi nimesha sepa.[Hapo uko sahihi kabisa maana yeye anatangulizwa mbele kama mgambo wakati wa vita

Usisahau .....THE STRONGEST MAN INTHE WORLD IS THE ONE WHO STANDS ALONE"
Wenyewe kina nani? Ninachohubiri kisichotekelezeka ni kipi? Hivi ni kweli leo mtu anaweza kusimama hadharani bila aibu akasema hakitekelezeki???? Nilipoanza mlisema, matokeo yalipoanza kupatikana mnasema halitekelezeki..... Kwakweli wengi wenu kwakuwa ni vijana nashangaa nchi hii itakuaje baada ya mda mfupi kama hili ndo Taifa lenye hiki kizazi
Sasa huyu Msekwa ni nani atakayemuita kwenye vikao vya kumuonya? Maana yeye ndo alikuwa akiwaonya mapacha watatu. Kweli CCM hakuna msafi. Kila mtu ni fisadi kulingana na nafasi yake.