Nape Nnauye angezitoa tweets zake za sasa alipokuwa Waziri jina lake lingekuwa kubwa sana Tanzania

njaa njaa njaa kwa nape,hakuna MTU mwenye roho ya kupenda madaraka sana kama nape
 
Hata picha zile Nape ktk tweets zake ukiwa Waziri haruhusiwi au
 
nape mnafiki wa kulipwa. Huyu si alisema ccm ingeshinda hata kwa bao la mkono? Akasema chadema ni mafisi... Ha ha ha... Leo hii anaonekana shujaa kwa baadhi ya watu.huyu hata jimboni mwake aliiba kura. Amepigwa bao naye kama ambavyo aliwapiga bao wenzake. Ukipiga bao utapigwa bao....
 
Katika forums zenye ukichaa ni hizi za siasa.... Asilimia 95 ya wanasiasa wetu ni mwezi mchanga. Sisi wenye akili tulishachoka tumeamua kuacha akili zetu zifanye kazi nyingne. Asilimia 80 ya wapiga kura ni vilaza.

basi mie humu ndo nakupendaga aisee!yaan fanya uwezayo mie napenda siasa !lol mmu nakuja tu coz ya vistress vya hapa na pale!
 
Ndio ujue "Unafiki Hauuzwi"
 
Mwosha huoshwa....
 
Mungu huwapitisha watu katika kipindi kigumu ili kujifunza kuwa duniani mambo Ubadilika kusudi la Mungu nape kusimama na watanzania wa hali ya chini
 
Mungu huwapitisha watu katika kipindi kigumu ili kujifunza kuwa duniani mambo Ubadilika kusudi la Mungu nape kusimama na watanzania wa hali ya chini
Ni kweli kabisa. Kila kitu na wakati wake.
 
Hata picha zile Nape ktk tweets zake ukiwa Waziri haruhusiwi au
Vitu vingine sio kwamba anazuiwa (si unajua siasa zetu za bongo za kiunafiki sometime unakuta mtu anajitoa akili ili mambo yake yaende), kuna mambo ambayo yanahusiana na msimamo na maamuzi ya serikali hayo ndio ukiwa waziri ndo huruhusiwi yaana serikali imeamua kufanya jambo flani ila kwa wananchi linaonekana sio jambo jema alafu unakuwa upande wa wananchi kuilaumu serikali wakati na wewe ni sehemu ya serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…