Nape Nnauye akielezea "Fedha Chafu" za CHADEMA

mlaizer

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
233
41
Pamoja kuwa Nape Nnauye aliahidi kuwa angeweka hadharani mpango wa CHADEMA kupokea pesa za misaada ktoka nje kwa siri,lakini baada ya kuhojiwa na kituo cha redio cha magic FM ameendeleza porojo;
fuatilia hapa:

 
Last edited by a moderator:
Katika mahojiano yake na majibu yake ni kinyume na matarajio yetu tuliokua tunafuatilia katika maswali aliyotumiwa kupitia JF.Hakuna chochote cha maana alichojibu au kuzungumzia mbali na porojo NAUJUTIA MUDA WANGU!MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Huwa najiuliza sana sababu zilizopelekea kupewa hicho cheo, bado sijapata jibu.
Could it be kuna watu ndani ya CCM wanayo nia ya makusudi kabisa ya kuua chama? Hao watakuwa ni wanamapinduzi halisi. I salute them!
 
Sasa nape hana pa kushika..wenyeviti wake wa vijiji wanasema M4C inawapa shida..ajielekeze huko.
 
lakini huyu kijana nape anaona mbali, asili ya wachagga ni biashara, siasa na wao wapi na wapi?
 
Huwa najiuliza sana sababu zilizopelekea kupewa hicho cheo, bado sijapata jibu.
Could it be kuna watu ndani ya CCM wanayo nia ya makusudi kabisa ya kuua chama? Hao watakuwa ni wanamapinduzi halisi. I salute them!
imagine angepewa mchemba
 
Nape kama ana ushahidi wa chama chochote kupokea hela chafu alitakiwa atoe taarifa police-haraka. Vyombo vya habari sio police na wala havina mamlaka kuchunguza ukiukwaji wa sheria i.e kupokea hela chafu. Nashangaa hadi sasa police hawajamhoji huyu Nape!
 
Nape anasema muweke wazi waliochangia wanafanya kazi gani?

Hapo sasa!
 
Jukwaa la watoto hili,hakuna la maana zaidi ya matusi,kejeli na mipasho.siku ya mwisho nape ndio baba yenu
 
Back
Top Bottom