Ukibishana na kuchangia mawazo ya Nape Nnauye utakuwa kichaa..Huyu jamaa ni kama mtoto,uwezi ukasema maneno kama hayo mtu mwenye title ya katibu mwenezi,habari kama hizi zinapaswa kuletwa na mtu asiye na cheo kikubwa kama hiki..........
mkuu umenena vema ila mi nafikiri hili ni tatizo la kuwapa watoto wadogo majukumu makubwa wasiyoyaweza kiasi kwamba sasa wanapoteza radha na status ya cheo alicho pewaThis guy is so immature! Anashindwa kuelewa wadhifa wake kama ranking officer katika chama chake na kuwa statements kama hizi zina implications siyo tu kwa image yake bali hata chama chake. Kuna vitu vya kuzungumza wakati wa kampeni laikini katika normal politicking kuna specific rules of the game ambazo zinaguide malumbano. Mojawapo ni civility yaani kumheshimu yule ambaye unapambana naye.
Maneno ya vichochoroni kama haya yanaonyesha wazi system mbaya ya selection ya viongozi wa chama cha CCM. Huyu bwana hastahili kabisa hii nafasi aliyopewa. Ni chekibobu wa kijiweni asiye na adabu wala maadili!
mi nilikuwa nampenda sana huyu jamaa alipokuja na sera za kuvua gamba ndani ya siku tisini kumbe lilikuwa ni vuvuzera la dk 90 alipo kuja kunichafua ni pale alipo kuja mwanza na kusema atatushikisha ukuta wana mwanza sipendi hata kusikia sauti yake afai hata kidogo
Kaka huyu chalii kajimaliza kabisa kisiasa, mana sidhani kama atakuja kuwa mtu tena wa maana hapa ndio mwisho wake.Dar Morden Taarab wanatafta watu, Nape nakushauri kajiunge.
You proved failure kwenye kila ugusacho