NAPE ndani ya Sherehe za miaka 150 ya chama cha SPD

security guard

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
799
Reaction score
603
Nape akisalimiana na baadhi ya viongozi wa SPD kwenye sherehe za miaka 150 ya kuanzishwa kwa chama cha SPD, mjini Leipzig,Ujerumani.
 

Attachments

  • IMG-20130523-WA0001.jpg
    51.9 KB · Views: 1,224
Hawa jamaa ziara zao hasara tupu manake huwa hawajifunzi lolote ni kama wameenda holiday tu.
 
Kwa style hii ya kuogelea kwenye raha watawatukana hata mama zao kwa kuitetea ccm!
Ni hawa hawa wanaosema 'wasiosoma ni chakula cha wasomi'....
Halafu mbona hajaenda na mkewe? Au ana kijana msaidizi wa kumbebea begi.
 
Nnape , Mayor wa hicho chama kutoka jiji la Berlin anaitwa KlausWowereit wa SDP chama ambacho ni marafiki wa CCM ni shoga , unasemaje kuhusu hilo? Hasa ukizingatia kauli zako kuhusu ushoga na mashoga..
 
Mbona Nape haendi mtwara kuhamasisha raiya waache gasia??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hivi atatumia lugha gani?...........au ndiyo yale yale ya 'I have been waiting for you weee but where(nimekusubiri weeee lakini wapi)''
 
Hivi atatumia lugha gani?...........au ndiyo yale yale ya 'I have been waiting for you weee but where(nimekusubiri weeee lakini wapi)''

Hata mi nilitaka kuuliza 'Nape anajua Kiingereza'? Maana Kijerumani sidhani kama anakijua.
 
ngoja nisikomenti chochote naweza pigwa BAN siku hizi kuna thread sio za kugusa kabisaaaa, napita mie, ngoja nikakojoe nilale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…