Nape: Namheshimu Lowassa!

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,488
Waziri wa Habari mheshimiwa Nape amesema anamheshimu sana aliyekuwa mgombea wa uraisi kupitia Chadema, Edward Lowasa kwani kuna mambo mengi ameyajifunza kwake!

Source: Vichwa habari Magazetini.

We should learn that, politics is not flexible. Leo unasema hivi, kesho unakana ama kugeuza kile ulichosema jana!
 
Nape ni mnafiki na mropokaji....!! Labda sasa busara inaanza kumjia! Akiwa kwenye chama Nafikiria njaa ilikuwa kichwani!! Akawa anaropoka lolote tu! Sasa kama busara imemjia aanze kumtafuta baba yake sasa!! Aachane na majina ya watu!
 
wanaosema bunge live vipi, mbona mim natazama vipindi vya bunge live, au mwasemea bunge lipi
 
Chadema walimshauri makufuli akitaka kumaliza tatizo la sukari nchini ukaongee na lowassa amsaidie
Nadhani saizi ccm ndio wameanza kujivuta.
 
He might truly declare what is in his heart rather than what we physically see..... Labda kavumilia kutamka hilo kwa kipindi kirefu sana from day one kampeni za urais zilivyo anza yeye akihofia tafsiri ya wana siasa wenzake kada wenzake
 
Back
Top Bottom