lifeofmshaba
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 867
- 219
Hivi huyo mbunge ni wa Chama Gani jamani? .... hvi kweli nape ni kakosa ustaarabu kiasi gani kutumia lugha ya matusi hivi?? kama mbunge alichaguliwa na wananchi na si yeye
Wana JF,
Habari nilizozipata ni kwamba huyu kijana anayeitwa Nape anafanya mchakato wa kuimaliza CCM kabla ya kuisha 2012. Habiri hizi zinasema mchakato wa kuianzisha vyama vipya vya Siasa unaendelea huku kukiwa na Mapacha watatu na chama chao na Nape kwenye CCK na wazalendo wakiamini wao watabaki na CCM.
Kwa hali ilivyo sasa nape ame realize kuwa kwenye CCM hatoki hata angefanyaje na hii ni baada ya kuzungukia mikoa ya Dodoma, Singida, Tabora, na sasa huko kusini ambako wanafikiri ni ngome yao lakini wamekutana na upinzani mkubwa sana kutoka kwa wananchi wa huko.
Sasa wamekaa na kuona kama huko ambako wanadhani ni kwao/ngoe ya CCM watu wamepinda hivyo je wakienda kwenye mikoa ya kanda ya Kaskazini, Kanda ya Ziwa mikoa ya Mwanza, Mara, Bukoba, Geita Iringa, Mbeya, Shinyanga, Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Kigoma etc. hali itakuwaje? ndicho kinachowapa presha maana wao walifikiri watanzania bado ni wale wa miaka ya tisini.
Habari za ndani zinasema Lowasa, Chenge na Rostam bado wana nguvu ya kifedha sana na wako tayari kuona CCM inavunjika kulikoni kuhukumiwa na kina Nape ndani ya chama.
Natoa hoja.
Mimi sio ccm lakini kwa hili namfagilia Nape, chuki zisitufanye tuwe vipofu
HUYU MBUNGE NI WA CHAMA CHA CUF,hUYU NI MPIGANAJI WA UKWELI,CCM WOTE HAPA KILWA WANAMGWAYA,HUYU JAMAA ANAWATETEA WAKULIMA AMBAO SERIKALI YA CCM ILIZOEA KUWABURUZA,YEYE ANACHOFANYA NI KUWAWEZESHA WAKULIMA WA UFUTA KUWA HURU KATIKA SOKO NA WALA SIO KULAZIMISHWA MAHARA PA KUUZA MAZAO YAO.Hivi huyo mbunge ni wa Chama Gani jamani? .... hvi kweli nape ni kakosa ustaarabu kiasi gani kutumia lugha ya matusi hivi?? kama mbunge alichaguliwa na wananchi na si yeye
HUYU MBUNGE NI WA CHAMA CHA CUF,hUYU NI MPIGANAJI WA UKWELI,CCM WOTE HAPA KILWA WANAMGWAYA,HUYU JAMAA ANAWATETEA WAKULIMA AMBAO SERIKALI YA CCM ILIZOEA KUWABURUZA,YEYE ANACHOFANYA NI KUWAWEZESHA WAKULIMA WA UFUTA KUWA HURU KATIKA SOKO NA WALA SIO KULAZIMISHWA MAHARA PA KUUZA MAZAO YAO.
kwa hiyo unatetea ufisadi au?
weka sawa kwanza hiyo ndio nitakujibu maana sioni uhusiano wa mtoto na watu wazima na wizi au kuwapola wananchi
mtoto Hana sense za ufahamu kama mtu mzima ndio maana akinya uwezi kumkata mkono wako
ANGEKUWA ANANUNUA MUHINDI HUO UFUTA WALA USINGESIKIA MATUSI.AFADHALI HATA HUYO MBUGE ANAWAFARIJI WANANCHI WAKE KWA HICHO KIDOGO......WANGEKUWA WAHIINDI LABDA HATA WASINGEPATA WANACHOKIPATA SASA HIVI.....TUSIPENDE USHABIKI USIO KUWA NA MISINGI......KILA MFANYA BIASHARA ALIOPO TANZANIA NI MLANGUZI KAMA YUPO ANAE SEMA SIO ANYOOSHE KIDOLE
Huyu ndio mbunge wetu,mpiganaji wa ukweli,ccm yote kimya wanapo muona huyu jamaa huku kilwa kusini,na moja ya kitu kilicho mpa ubunge ni suala hili la ufuta.hapo mwanzo wakulima wanalima,wanavuna pasipo msaada wowote kutoka serikalini,inapo fika muda wa mauzo serikali inajifanya inakuja kutoa msaada kwa kuwakataza wakulima kuuza mazao yao sehemu ambayo wao wanaona inawafaa na kuwalazimisha wauze kwenye chama cha ushirika,wanasahau kilimo ni biashara wameshazoea kutoa sadaka malizetu kama wanavyo gawa madini yetu.mkulima anaangalia kuuza ufuta shilingi 1200 nakupata pesa zako hapohapo au kuuza kwenye chama cha ushirika kwa sh 1000 na kusubiri ongezeko la sh 100 kwa muda usio fahamika kipi ni bora? Hata wewe jibu ni kuuza live sh 1200.na kwa swala hili ni wakulima wenyewe ndio wanalifagiria na ndio maana wakamchagua mpiganaji ili awatetee.
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye, ametangaza kiama cha walanguzi wa ufuta
*****(Bweg.e) rudi bungeni kama hujui kazi yako ni kuwatetea wananchi, basi bora ujiuzulu
wananchi wapate mwakilishi na si mlanguzi" alisema Nape.
Alisema wakati bei ya dira mwaka huu ni Sh 1,000 ambayo Serikali iliagiza mkulima alipwe yote ndio asubiri malipo ya pili ambayo nayo yatakuwa mazuri kwani bei ya ufuta safari hii ni nzuri, walanguzi wananunua ufuta kwa kati ya Sh 1,150 na Sh 1,200 ambayo ni wizi kwa .
sasa Nape amfanye nini? keshamwambia jamaa atajirekebisha na kuacha ulanguzi....kwa nini tunapenda sana kumshambulia Nape hata kwenye mazuri? kwazna badilisha tittle ya thread...iandike kiustaarabu acha jazba
acha kumfagilia mtu kwa kitu usicho kijua,mbunge wetu anatutetea wakulima tuwe huru katikamimi sio ccm lakini kwa hili namfagilia nape, chuki zisitufanye tuwe vipofu
acha kumfagilia mtu kwa kitu usicho kijua,mbunge wetu anatutetea wakulima tuwe huru katika
swala la kuuza mazao yetu ya biashara,ccm na sera zenu ndio mnatunyonya ,mnatulazimsha tuwauzie nyinyi kwa bei mnayo taka nyinyi wakati soko halipo hivyo.