Nape na waziri mpya wa michezo Mwakyemba wakiwa mubashara Taifa kuwapa sapoti Taifa Stars

undefine

JF-Expert Member
Nov 17, 2016
442
1,011
Aliyekuwa waziri wa Habari ,sanaa na michezo Nape Nnauye Leo aliungana pamoja na waziri mpya wa habari,sanaa na michezo Mwakyembe kwenye mpambano kati ya Taifa stars na Botswana,

08e896c777ced1994eded4c4a2c98773.jpg
 
Hivi Mwakyembe Ugonjwa wake wa Ngozi kubabuka na kutoonyesha ushirikiano alipona kwa 100%? Na je Kiutaalam kabisa huo Ugonjwa huwa hauathiri Medulla Oblangata ya Binadamu?
 
we humuoni jinsi alivyo unaamini kabisa hapo ni Mtu wa PhD
 
Back
Top Bottom