sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,134
- 4,252
Siasa ni tamu , siasa ni chungu.Wapo wabunge wako radhi kuondolewa posho kwani wana vianzio vingi vya mapato.Wako wabunge wengi vianzio ni haba lakini wapo tayari kuchangia maendeleo bila kufanya mbwebwe.Shida ni marupurupu ya wabunge au shida ni mfumo wa marupurupu ya wabunge?