Nape na ombi lake kwa vijana...........

Nape na ombi lake kwa vijana...........

kumbe gazeti lenyewe la chadema mwanahalisi..
nimekubali kweli wewe ni mtoto wa mama
ungekuwa mtoto wa baba ungekuwa unaenda na baba yako kupigika halafu ndo ule
lakini kwa sababu wewe ni wa mama wote mnatega kutoka kwa babaako
 
mnh majbu yaliyotolewa na Nape ni majibu mepesi kwenye maswali magumu,wenye huruma na Tanzania bado hawajazaliwa
 
Ni vizuri muendeleze kile chama mlichoanzisha, kwani mlishtuka nini.
 
Back
Top Bottom