Nape na lowasa kulikoni?

Nape na lowasa kulikoni?

Kurunzi

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
10,198
Reaction score
11,631
295218_251628634858557_7776827_n.jpg

Katuni hii inapatika kana katika ukurasa wa facebook wa NAPE
 
Amelewa migebuka huyo ya KG.....( alitaka kumuondo EL bwawani pwani ikagonga mwamba)

V
SENGEREMA
 
Hiyo katuni ilichorwa kipindi kile Mwakyembe aliposoma ripoti ya RICHMOND iliyomwondoa EL.
 
Hivi ikitokea Lowasa awe raisi (Mungu apishie mbali) sijui Nape atajificha wapi!
 
Hiyo katuni ilichorwa kipindi kile Mwakyembe aliposoma ripoti ya RICHMOND iliyomwondoa EL.
Alipokuwa Kasulu wiki hii, Nape aliulizwa juu ya kujivua gamba CCM wameshafanya nini? Alitolea mfano kwamba walimshughulikia Lowassa kwa kumtoa kwenye uwaziri mkuu.

Nape anapopata nafasi majukwaani huwa anamtupia madongo Lowassa. Nadhani anafanya hivyo kwa ridhaa ya wakubwa wake wa CCM.
 
Officially Nape hamuungi mkono Lowassa.

Yeye na kundi lake wanatumia mbinu za chinichini na siri sana kumdidimiza Lowassa.

Watu wengi wanadhani siasa za sasa hivi Tanzania ni CCM vs CDM, lakini chinichini ndani ya CCM mbio za 2015 zimeanza, nazo ni siasa tamu pia.

Huenda watu kama akina Kibanda ni wahanga wa huu mchuano wa ndani.
 
Hivi anamjua EL huyu Nape au anamsikia?atajikuta mkimbizi wa nchi ambayo haina vita...shauri yake!siasa na upepo vikimrudia EL na Mwenyekiti anaemtumia akimaliza muda wake akaingia mtu ambae baadae upepo ukamrudisha EL kwenye mtandao...atajikuta amekuwa tissue (Toilet Paper)...namuonea huruma!
 
2015 ni ama EL aukwae au amuweke mtu pale Magogoni, ni options mbili tu kwake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom