Nape na Kinana wamshitaki JK kwa wananchi

Tangu slaa aruhusu gongo imekuwa ni shida kweli vijana wanazidi kuharibika kwa kiasi kikubwa sana.

Kaka mbona kichwa cha habari hakiendani na ulicho kiandika? Umesema wamemshitaki rais kwa wananchi! Kisha unawashauri wamshitaki! Mbona mimi sielewi! Au ndio div 5? Kama hivyo huyu mama mpya ataleta div 6.
 
Wanatakiwa wajitoe ccm name si vinginevyo.wakibaji ccm wanejimaliza wenyewe.ccm imezibs masikio ukizungumza ukweli unachukiwa
 
Mbona ndio zao kwa kusututana kutukanana kudharauliana ,kufitinishana hatuwashangai Kikwete kambomoa nguzo iliyokuwa inamtetea Kama Kinana akikasirika ajue hana katibu mkuu mwingine atakayesema viongozi na wananchama wa CCM wakamsikia angalu yeye kwa kusimamia kampeni za uraisi wa Mkapa na jakaya wengi walimuheshimu kwa sasa chama ni kaputi
 
Huyu naye eti ni miongoni mwa watu wenye jukumu la kuishauri chadema hii kweli balaa.

Ni bora ukae kimya kama huna cha kuchangia, hivi ni wapi mleta mada ameihusisha Chadema? Au hapo Lumumba ukipost kitu bila kuitaja Chadema posho inapungua?
 
Tangu slaa aruhusu gongo imekuwa ni shida kweli vijana wanazidi kuharibika kwa kiasi kikubwa sana.

Kinana akibaki CCM kwa kudhalilishwa huku kuliko pitiliza itakuwa sababu anaogopa hizi kashfa zake za kuua tembo zetu mbugani!

Anaogopa yy akimwaga ugali basi JK ataondoka na mboga!Kama sio sababu hii Kinana angejiuzuru siku tu mawaziri mzigo walipobakizwa
 
Wanatakiwa wajitoe ccm name si vinginevyo.wakibaji ccm wanejimaliza wenyewe.ccm imezibs masikio ukizungumza ukweli unachukiwa

Kinana na Nape hawawezi enda popote!Nape mbali na siasa atafanya kazi gani?

Kinana anaogopa akiondoka kwa hasira za kudhalilishwa watamsulubu!He's very vulnerable
 
Hapo kwenye bold nafikiri kuangamia tembo wetu inahusika sana.
 
Tangu slaa aruhusu gongo imekuwa ni shida kweli vijana wanazidi kuharibika kwa kiasi kikubwa sana.

Ina maana mawaziri mizigo wameharibiwa na gongo ndiyo maana hawakufukuzwa? Kwa hivyo, wa kulaumiwa ni Dr Slaa, sio serikali?
 
kinana ain't going nowhere otherwise his little poaching business will be brought in court.
 
tpaul unaonekana hata kupost thread yenye mashiko kwako ni mzigo, hakika wewe ndiyo mzigo usiobebeka, uliwahi lini kushuhudia Rais akafanya jambo watu wooote wakashangilia tena kwa hisia sawa. " A human being is simple, complex in nature and is aculculating animal", hivyo wewe subiri Slaa na Mbowe wako labda watawafurahisha watu wote baada ya siku 14 za kuruka na Helcopta nakutumia ml. 900 na ushe bila tija huku Ofisi za Wilayani na Mikoani zikishindwa kujiendesha na viongozi wakilazimishwa kujitolea wakati viongozi wa Kitaifa wakitafuna posho ndeeefu. Ama kweli Nyani haoni kundule.
 
Kaka mbona kichwa cha habari hakiendani na ulicho kiandika? Umesema wamemshitaki rais kwa wananchi! Kisha unawashauri wamshitaki! Mbona mimi sielewi! Au ndio div 5? Kama hivyo huyu mama mpya ataleta div 6.

kama hujaelewa kweli wewe div 6 inakuhusu
 
tpaul unaonekana hata kupost thread yenye mashiko kwako ni mzigo, hakika wewe ndiyo mzigo usiobebeka, uliwahi lini kushuhudia Rais akafanya jambo watu wooote wakashangilia tena kwa hisia sawa. " A human being is simple, complex in nature and is aculculating animal", hivyo wewe subiri Slaa na Mbowe wako labda watawafurahisha watu wote baada ya siku 14 za kuruka na Helcopta nakutumia ml. 900 na ushe bila tija huku Ofisi za Wilayani na Mikoani zikishindwa kujiendesha na viongozi wakilazimishwa kujitolea wakati viongozi wa Kitaifa wakitafuna posho ndeeefu. Ama kweli Nyani haoni kundule.

Sasa haya yote uliyoandika yanahusianaje na MAWAZIRI MIZIGO wa Kikwete? Ama kweli magamba mmeishiwa hoja! Badala ya kujibu hoja iliyopo hewani unakimbilia kumtaja mbowe na Dr Slaa? Si mlikuwa mnasema kwamba mbowe anakula ruzuku? Leo hii ameanza kurusha helcopter kwa fedha za ruzuku imekuwa nongwa? Mnataka fedha za ruzuku zifanye nini kama haziwezi kutumika kwenye kampeni? Na zile fedha ambazo CCM walikuwa wanarushia helikopta hazikuwa za ruzuku au mlizitoa makalioni mwenu? Acha kujitoa akili wewe mburula? Unashobokea helikopta za CHADEMA kama vile CCM wao hawajawahi kurusha helikota? Mjinga mkubwa wewe!
 
Back
Top Bottom