Nape, Mwigulu, Makamba, Membe na Kinana msikubali kuporwa chama. Kipiganieni, mkishindwa anzisheni chama kipya cha siasa

Watazame vizuri wote hao, unaona nani yuko tayari katika hao kufanya uliyoshauri?
 
Hao especially Membe ni wahalifu,nani ataungana nao,labda vibaka,hakuna alie wahi toka ccm akashaini,hayupo,niambie ni nani,mtaje,naona unataka wafe jumla
 
Hao ndo wameua Chama kwa taarifa yako. Nyie makuwadi wao ambao mlikuwa mnanufaika na wizi wa Nchi hii.JPM ndio kiboko ya majizi yote iwe CCM serikalini au popote.Magufuli kama maji usipooga utakunywa tu.
Baelezee ukweli,hawa wanafiki.

Fimbo ya kuwachapa hii hapa
 


Hao wote uliowataja hapo juu ni machizi tu, hawastahili kukumbukwa kwa lolote zaidi ya kutukanwa tu.
 
Bashite wala siyo mwanaccm mkuu, ni wakuja

Tatizo lenu hamtambui wachapakazi hodari kama Mhe Makonda, kule Hong Kong/ China kwa mwaka mzima sasa hawajanasa wabebaji wa madawa ya kulevya(drug mules) kama kipindi cha awamu iliyopita. Ni dhahiri kuwa nchi chini ya uongozi wa Rais Dr Magufuli na Mkurugenzi Mkuu sianga na Dsm ikiongozwa na Mhe Makonda wameweza kuwabana drug dealers. Ili uone ukweli angalia website ya Hong Kong/China www.v2catholic.com( events by The Right Rev Father John)!Awamu iliyopita kuna viongozi wengine ilibidi wakodeshe mashua (hired speed boats) kwenda kuokoa ndugu waliokuwa wananaswa kwa ubebaji (drug mules) wa madawa ya kulevya. Rais Kikwete aliona Mhe Makonda anafaa ndiyo maana alimteua kuwa Mkuu wa wilaya na Dr Magufuli kurithi tu!
 
Baada ya kumpa kichapo jaji warioba wakaina anastahili kupewa cheo,hahah siasa majitaka.
 
Kiukweli nikisikia jina la Mwigulu Nchemba kwenye misheni yoyote huwa nahisi bora SHETANI ahusike kuliko huyu jamaa
 
Aliyekwambia Ccm haina mwenyewe ni nani.Kwani Tanu na Asp havikua na waanzilishi.Wewe sema wengi wao wametangulia mbele ya haki na hao wa vyama vingine bado wapo hai kwasababu sio vyama vikongwe.Kila kitu kina mwenyewe.
 
Mkuu upo?sikuoni siku nyingi hapa mwandiga
 
Vipi kuhusu Daud Albert Bashite na kuwa na majina ya ajabu?
 
Sipati picha siku babake aking'atuka mjengoni sikuji huyo mdoli atakimbilia wapi
Labda ameahajianda kisaikolojia maana hata juzi amesikika akisema hakuna mtu anayekula bata kama yeye,ingawa sijui kama bata lake linafikia la watoto wa Saddam na Ghadafi lkn leo sijui hata wako wapi.
 
Hao bata wamemlewesha sana
Labda ameahajianda kisaikolojia maana hata juzi amesikika akisema hakuna mtu anayekula bata kama yeye,ingawa sijui kama bata lake linafikia la watoto wa Saddam na Ghadafi lkn leo sijui hata wako wapi.
 
EFF ya Julius Malema - nadhani tutaona mengi kipindi cha kuelekea uchaguzi
Rais ajaye nina uhakika atatoka kanda ya magharibi mwa Tanzania - hao uliowataja wajiandae kisaikolojia
 
Kuna tofauti kubwa sana za uendeshaji na muundo wa chama kati ya CCM na vyako mlipuko, vyama mlipuko ni mali ya watu Binafsi, Kuna vuvuli vya watu kwenye uongozi wa chama, Na hata inapotokea ubadilishanaji wa madaraka hakuna ridhaa ya kweli, wenye chama hufanya maamuzi ya nani wanamtaka na sio wanachama.
CCM ni Chama kisicho na mwenyewe japo kuna baadhi ya watu walijimilikisha Chama wao na Familia zao, kuingia kwa Mwenyekiti wetu wa sasa kumeondoa hati miliki za watu kwenye chama
Ndio maana kuna watu wako nje na wanalia lia.
Kimsingi Chama hakipaswi kuwa na mmiliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…