Nape: Mwaka huu tuna Ilani kubwa

Nape: Mwaka huu tuna Ilani kubwa

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,830
Reaction score
12,292
Kuliko zilizowahi kutolewa. Kurasa zaidi ya 200.

Yupo live TBC sasa.
 
Mwanaume hasifiwi kwa mbwembwe...anasifiwa kwa KAZI.
 
"Sijaona mfumo ambao unaweza kupambana na CCM" /NAPE NAUYE, TBC,06:45 ASUBUHI.
 
Nape analalamikia sheria ya uchaguzi kuwa imeweka kiwango kidogo cha gharama kuliko hali halisi iliyopo.
 
Ilani au laana kubwa? Nadhani CCM ina laana kubwa ndio hali halisi.
 
Akiongea ktk tv anafafanua kuwa diamond atazindua wimbo wake wa kampeni hapo Jangwani sambamba na wanamuziki zaid ya 40. Wamejipanga wenyewe kwa mapenzi yao kuisapot ccm. Nguvu ya vijana wapenda mziki itagawanyika, tuamini kuna vijana ambao hawataipenda ccm lakini watampenda tu diamind na hilo huwezi kulizuia hivyo wanaweza kufuata mapenzi ya diamond. Mmmh....lets wait...loading
 
nape hamna kitu hana jipya.Ilani zenu maccm hatutaki tena mmetudanganya sana.
 
mwaka wa mabadiliko huu.Hatudanganyiki na Ilani za magamba
 
Back
Top Bottom