Nape muasi namba moja CCM - Nangole

Nape muasi namba moja CCM - Nangole

attachment.php
 
Siasa za Tanzania hazina kichwa wala miguu,tatizo kuna watu wanataka kwenda Ikulu kwa gharama zozote
 
Damu ya mbwana masoud imeanza kuwaandama na mzimu wake utawafuata na kuwatafuna kila wanapokwenda
 
wajumbe msimamo ule ule na jamii imechoka kuburuzwa na viongozi wazembe kama nape na mwenyekiti wake jk wamekaa na kupiga umbea huku wananchi wakiwa shida nyingi
 
Ccm ni chama kilichojengeka kitaasisi zaidi,kwa hiyo haitaweza kusambaratika kirahisi kama hivi vyama ovyo,kumbukeni kuwa mtanzania yoyote anaetaka huduma huanzia kwa balozi na asilimia tisini ya mabozi w shima ni ccm so swala la ccm kusambaratika ni hadithi za kufikirika
Mkuu ht mimi nilikuwa naamini ccm itadumu daima ila kwa hali ilivyo kinaparnganyika japo hatujui dakika,siku wala sasa.Libya,misri na tunisia ni mifano ya haraka ukichanganya na methali zetu za kiswahili....lenye mwanzo... .
 
Panga la Nape limetua kwa mfupa,... watapayuka sana mwaka huu BWANA wao MTUME LOWASA
aliyeahidiwa URAIS kama haki yake ya kuzaliwa, anaelekea kupotezwa kisiasa.

NEC ijayo lini Chama Kipasuke tujue moja?...Tumechoka maigizo. "Upinzani wa kweli utatokea CCM" -
Ni utabiri unaokaribia kutokea. 2015 Kutakua na CHADEMA, CCM A na CCM B, safi sana... na marehemu CUF!
 
Back
Top Bottom