Bwana nape mjadala wa kadi ya ccm aliyonayo dr.umechosha masikio ya watu na kutufanya tusahau kufikiria matatizo ya msingi ya taifa letu,badala yake tuijadili kadi.sasa basi naomba nikushauri kuwa kama una uhakika kuwa slaa anamiliki kadi ya ccm na anailipia,hivyo ni fika kuwa ni mwanachama wa ccm.Na kwa kuwa katiba ya CCM hairusu mwanachama kutumikia vyama viwili,NAKUSIHI ILI KULINDA HADHI YA KATIBA YA CCM,ANDAENI UTARATIBU NA MUITE PRESS CONFERENCE MUMFUKUZE UANACHAMA KULIKO KUKAA NA KUZUNGUMZIA HOJA ZA KADI WAKATI WATANZANIA TUNA SHIDA KIBAO AMBAZO ZINAPASWA KUJADILIWA.NAWASILISHA

we mbona mnafiki hivi?si ulisema utatoa ushahidi wa yeye kuilipia hiyo kadi?halafu kumwita babu wakati baba yako anafariki 2001 alikuwa na umri sawa na slaa kwa umri wake wa leo inaonyesha usivyokuwa nakumbukumbuKwanza nikupongeze kwa busara kubwa uliyotumia na maneno ya kiungwana. Ni kweli nilianzisha mjadala huu,lakini baada ya hapo sijaendelea kujadili hili,mie naendelea na majukumu yangu mengine japokuwa nasikia maneno mengi sana tena ya kipuuzi sana! Nasikitika mjadala huu kutumika kudhalilisha watu akiwemo Dr. Slaa(babu yangu)...HAIKUA KUSUDIO LA MJADALA HUU...nilitaka kumkumbusha babu kuishi anayoyahubiri basi!! So Dr. Sio mwanachama wa ccm kwa mujibu wa katiba ya ccm bali ANAMILIKI KADI YA CCM na hoja yangu hapa wakati yeye ANAHAMASISHA WATU KURUDISHA KADI ZA CCM YEYE YAKE KAKIRI KUITUNZA...kulipia kadi na kuwa na kadi is kipimo cha uanachama wa mtu...
hii vita ishakushinda na umesalimu kwa lowassa,sasa hivi unajikomba kwa lowassa,mseme tena akuondolee ulaji wa kifisadi ulionao sasa..chezea mamvi weKapya,
Kwahiyo huwezi kumfukuza mtu ambaye simwananchama wako! Kama mjadala wa viongozi wetu kuishi maisha wanayoyahubiri unachosha is ajabu ipo siku utadai tumechoshwa na mjadala juu ya vita dhidi ya ufisadi na rushwa!
Kapya,

Hahaha magwanda mnalo! Mnaanzishiwa ngoma mnacheza kama mazuzu! Mkiambiwa hicho sio chama ni NGO mnanuna!! Akhhaaaa!
Kwanza nikupongeze kwa busara kubwa uliyotumia na maneno ya kiungwana. Ni kweli nilianzisha mjadala huu,lakini baada ya hapo sijaendelea kujadili hili,mie naendelea na majukumu yangu mengine japokuwa nasikia maneno mengi sana tena ya kipuuzi sana! Nasikitika mjadala huu kutumika kudhalilisha watu akiwemo Dr. Slaa(babu yangu)...HAIKUA KUSUDIO LA MJADALA HUU...nilitaka kumkumbusha babu kuishi anayoyahubiri basi!! So Dr. Sio mwanachama wa ccm kwa mujibu wa katiba ya ccm bali ANAMILIKI KADI YA CCM na hoja yangu hapa wakati yeye ANAHAMASISHA WATU KURUDISHA KADI ZA CCM YEYE YAKE KAKIRI KUITUNZA...kulipia kadi na kuwa na kadi is kipimo cha uanachama wa mtu...

Walikuwa wapi kipindi cha uchaguzi uliopita?
Hivi kama kweli Dr.anamiliki na kuilipia hiyo
kadi kwanini wasilete kielelezo?
Nape unajiaibisha ndugu yangu!!!!