Nape mbona kimya, kulikoni?

Anayoyafanya Nape muda si mrefu watanzania wataelewa.Ila 2015 CCM chali wapende wasipende kwani wanatetea uharamia wa rasilimali za nchi.
 
Kimya cha nape kilikuwa na sababu, wiki jana alikuwa anamalizia mitihani yake ya masterz mzumbe hongera kwa kumaliza mitihani nape

Du! huyu bwana mdogo ana akili sana. keshagundua kwamba unahitaji kuwa na Masters degree na kisha PhD ... eeh, how about Dr. Nape Nnauye? hapo hata ukiongea utumbo kiasi gani, watu wataamini na kukuheshimu! hii ni bongo ati!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom