Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,534
- 61,965
Haya matamko wanayotoa hawa viongozi wa CCM kwa siku za karibuni hasa mara baada ya tarehe 17 march yamenifanya nikumbuke riwaya maarufu ya Usiku utakapokwisha ya kwake mwandishi Mbunda Msokile.
Ama kweli maisha bila unafki hayaendi, kutoka kuzima Bunge live mpaka kulilia haki, nauliza tuu, Mh. Nape amepatwa na nini?
Ama kweli maisha bila unafki hayaendi, kutoka kuzima Bunge live mpaka kulilia haki, nauliza tuu, Mh. Nape amepatwa na nini?