Mchawi mkubwa wa matatizo ya CCM na serikali yake ni Jakaya Mrisho Kiwete wengine wote wanafanya kwa maagizo yake au wanadhani ndivyo yeye anavyotaka. Otherwise asingekubali yafanyike wakati ana uwezo wa kuzuia. JK ndio kimeo sio Zoka, Kova, Mwema, Nape, Kudadadeki, Mnzinzi na muuwaji, Bi kiroboto, Ndugai, Ma-tomato, Mkama, Mabumba na wengineo. Kama kweli CCM wako serious na wanataka wasisambaratike wamwondoe JK kwenye uongozi wa Chama. Kwa upande mwingine, uwepo wake unawasaidia CDM na wananchi wengine tunaopenda mabadiliko.