Nape KUUNGURUMA MBEYA Kesho tar.16/07/2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape KUUNGURUMA MBEYA Kesho tar.16/07/2011

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nipe tano, Jul 15, 2011.

 1. N

  Nipe tano Senior Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habar nilizo nazo katika mkutano WA Kesho mjini MBEYA vuvuzela WA CCM Nape Nnauye atakuwepo pia. Mhhh hii timu ya Nape,Sita, Mwakyembe,Olesendeka,Mama Kilango nasikia na Nyalando imekaaje?kilikoni MBEYA !????
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nyalandu yule aliyechakachua vyeti?
   
 3. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Unganisha hii mada na ile ya kwanza tupunguze upupu wa mada Mods
   
 4. F

  FUSO JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  hii ndiyo kambi ya CCM ambayo inataka kuongoza 2015 - ile kambi ya wana CCM mtandao vipi tena? akina JK, RA, EL, January n.k
   
 5. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  inaonekana ni mwenderezo wa kujisafisha kuvua gamba hawatakosa kusema r a kujivuwa mbeya muwahoji kodi na rathilimali zetu alizo iba atazirudisha lini? umeme umefanyika uhuni ili wahalarishe mikataba ya kuiba pesa ya uchaguzi 2015 mugao ni wakutengeneza ili waendele kutuibiya
   
 6. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,407
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni kambi ya CCM-J
   
 7. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mgawanyiko sasa ni wazi kabisa!!
   
 8. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Mbona umesema atanguruma? toka lini panya akanguruma? watu wa kunguruma(Slaa & co) walishapita huko kitambo....
   
 9. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Aibu kubwa itawakuta labda wakasombe watu vijijini na malori kama kawaida yao ili wajaze maandamano na mkutano wao wamechemka biiigggg tyyyyyme
   
Loading...