Z zamwamwa Member Jun 16, 2011 46 10 Jul 3, 2011 #1 Dogo Leo katumia iPad wakati anaongea na waandishi juu ya sherehe za kuzaliwa TANU
macho_mdiliko JF-Expert Member Mar 10, 2008 21,796 39,590 Jul 3, 2011 #3 zamwamwa said: Dogo Leo katumia iPad wakati anaongea na waandishi juu ya sherehe za kuzaliwa TANU Click to expand... Hii ni crap na takataka na ulimbukeni wa mwanzisha sredi! Kwani kutumia ipad ndio nini? Au wewe ndio umeanza kuiona leo?
zamwamwa said: Dogo Leo katumia iPad wakati anaongea na waandishi juu ya sherehe za kuzaliwa TANU Click to expand... Hii ni crap na takataka na ulimbukeni wa mwanzisha sredi! Kwani kutumia ipad ndio nini? Au wewe ndio umeanza kuiona leo?
BONGOLALA JF-Expert Member Sep 14, 2009 16,507 11,883 Jul 3, 2011 #4 kalale kwake kama umependa ipad yake!
Vin Diesel JF-Expert Member Mar 1, 2011 9,088 6,368 Jul 3, 2011 #5 badala ya kuleta alichosema wewe waleta habari ya IPAD hapa...ongezea alivaa shati gani,suruali,viatu,na kama alivaa miwani.
badala ya kuleta alichosema wewe waleta habari ya IPAD hapa...ongezea alivaa shati gani,suruali,viatu,na kama alivaa miwani.