mkisoka JF-Expert Member Joined Oct 22, 2012 Posts 396 Reaction score 228 Jul 18, 2015 #261 Laana ya kumchamfua na kumzalilisha warioba inamrudia sasa. Pole babu kingunge
B bato JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 3,960 Reaction score 3,476 Jul 18, 2015 #262 Kigunge si mstaarabu kabisa,umri wake ni tofauti na anayofanya,hana busara. Nakumbuka alivyowashambulia maaskofu wa TEC 2010 kutokana na waraka wa wanataaluma wa Katoliki kuelekea uchaguzi mkuu 2010. Yamemkuta mwaka huu.Apotee zake huyu mzee.
Kigunge si mstaarabu kabisa,umri wake ni tofauti na anayofanya,hana busara. Nakumbuka alivyowashambulia maaskofu wa TEC 2010 kutokana na waraka wa wanataaluma wa Katoliki kuelekea uchaguzi mkuu 2010. Yamemkuta mwaka huu.Apotee zake huyu mzee.