Nape kauli yako hii siyo kweli!

Nape kauli yako hii siyo kweli!

Akili anayo ila ameamua kujitoa ufahamu makusudi ili awatukane wana kusini, sipati picha vurugu za Masasi angekuwa bado mkuu wa wilaya pale, ambacho kingemkuta sijui!??, afu huyu dogo ana matusi mno sijui ndo siasa au!!!!!???
 
Sasa yeye anaongelea hayo mambo akiwa kwenye radio ya WAFU, aende Kusini na Jangili Kinana kutekeleza Ilani ya chama chake. Wananchi kule wanadai Ilani inasema watajemgewa mtambo wa kuzalisha umeme MW300 na viwanda mbalimbali na Bandari kupanuliwa kuifanya MTWARA CORRIDOR kuwa ukanda wa Kiuchumi.

Nape na Kinana na NChemba mmezunguka kila sehem nchini kusimamia utekelezaji wa ILANI, sasa ni wakati muafaka wa nyie kwenda Mtwara na sio kuongelea redioni. Nendeni mkasikilize hoja kutoka kwa wananchi nyie CCM, mnaogopa nini?? Nendeni mkajibu hoja sio kuleta viroja. Wananchi wanasema kwenye huu mradi kuna ufisadi na mmeongeza cha juu, Nape nenda kusini kawaambie wananchi kuwa hakuna kilichoongezwa. Wanasema Bandari imehamishiwa Bagamoyo, nenda kusini kawaambie haijahamishwa. Nape usilete janja ya Mbuni kuficha kichwa huku masaburi yote yako nje, nenda Mtwara kaongee na wananchi, jibuni hoja zao na muwaelimishe wajue watanufaika vipi na gesi
 
Mleta mada hujatulia wewe unasema eti radio ya wafu sasa na wewe manaake ni mfu? Maana si uko umnaisikiliza? Kweli maana ya GT ni kubwa.
 
redio ya wafu ni ipi hiyo? clouds, TBC-CCM, uhuru au redio imani?
 
Napelile Mwandosya! Unasama Wahuni? Utakuwa na laana ya kung'ang'ania jina la watu!
 
Acha kupotosha watu...Nape kasema na kwenye wall yake ya fb kaweka kuwa wanakusini wanahoja ya msingi. isipokuwa wanaochoma nyumba na kuharibu mali za watu na umma ni wahalifu

Namsikia sasa hv kwenye redio ya wafu, eti anasema wanaoandamana kusini ni WAHUNI na WAHALIFU. Wamedandia suala lisilowahusu.

Ngoja niulize, kuna mkazi wa Mwanza anaandamana Kusini? Wakazi wa Iringa, Mbeya, Morogoro je?Nao wanaandamana kusini?

So wananchi wa Mtwara kudai haki ya gesi yao ni kudandia lisilowahusu?

Huyu Nape Akapimwe Akili, Si Bure, Ana Mdudu Huyu.

Nyerere Angefufuka Leo ...

Bora ya ukatili wa Idd Amin, kuliko hawa wanaoitwa viongozi wetu.
 
Sasa yeye anaongelea hayo mambo akiwa kwenye radio ya WAFU, aende Kusini na Jangili Kinana kutekeleza Ilani ya chama chake. Wananchi kule wanadai Ilani inasema watajemgewa mtambo wa kuzalisha umeme MW300 na viwanda mbalimbali na Bandari kupanuliwa kuifanya MTWARA CORRIDOR kuwa ukanda wa Kiuchumi.

Nape na Kinana na NChemba mmezunguka kila sehem nchini kusimamia utekelezaji wa ILANI, sasa ni wakati muafaka wa nyie kwenda Mtwara na sio kuongelea redioni. Nendeni mkasikilize hoja kutoka kwa wananchi nyie CCM, mnaogopa nini?? Nendeni mkajibu hoja sio kuleta viroja. Wananchi wanasema kwenye huu mradi kuna ufisadi na mmeongeza cha juu, Nape nenda kusini kawaambie wananchi kuwa hakuna kilichoongezwa. Wanasema Bandari imehamishiwa Bagamoyo, nenda kusini kawaambie haijahamishwa. Nape usilete janja ya Mbuni kuficha kichwa huku masaburi yote yako nje, nenda Mtwara kaongee na wananchi, jibuni hoja zao na muwaelimishe wajue watanufaika vipi na gesi

Wakitia mguu mtwara nyakati hizi watarudi majivu
 
Acha kupotosha watu kenge wewe...Nape kasema na kwenye wall yake ya fb kaweka kuwa wanakusini wanahoja ya msingi. isipokuwa wanaochoma nyumba na kuharibu mali za watu na umma ni wahalifu

Sasa mbona unamtukana aliyesikiliza radioni bila wewe kusema redioni kaongea nini? Kwani hawezi kuandika kitu kingine kwenye wall na kuongea kitu kingine redioni?. Kwa taarifa yako wewe ndio umeonekana Kenge, tena Kenge Mu Maji
 
Akili anayo ila ameamua kujitoa ufahamu makusudi ili awatukane wana kusini, sipati picha vurugu za Masasi angekuwa bado mkuu wa wilaya pale, ambacho kingemkuta sijui!??, afu huyu dogo ana matusi mno sijui ndo siasa au!!!!!???

Kukosa malezi bora.....hasa ya Baba
 
Kama anataka ajione mavi aende Mtwara akaropoke hivyo hata kama kuna jeshi kila mtaa atajuta na ikiwezekana amuulize Mbati-ccm
 
Acha kupotosha watu kenge wewe...Nape kasema na kwenye wall yake ya fb kaweka kuwa wanakusini wanahoja ya msingi. isipokuwa wanaochoma nyumba na kuharibu mali za watu na umma ni wahalifu

walewale kasoro majina. Hv kuna Mitanzania bado inatetea upumbavu wa maviongozi yao?
Kenge mwenyewe! Alaf nina hakika wewe .... (bahati yako kuna BAN)

mi naishangaa sana mijitu inayotetea maccm, sijui yamelishwa nin?
 
NA WATAKAPOKUJA HUKU WAWE NA MAJIBU YA MASWLI HAY A.Kwa mujibu wa Mpango Kabambe wa Umeme nchini (Power System Master Plan), kulikuwa na mradi wa kufua umeme MnaziBay, ambao Rais Jakaya Kikwete aliagiza utekelezwe mara moja. Serikali ieleze umma kuhusu mradi huo wa kujenga kituo cha kufua umeme 300MW MnaziBay Mtwara na kujenga msongo wa umeme wa 300KV mpaka Singida. Umeishia wapi? Ikumbukwe kuwa mnamo tarehe 12 Oktoba 2012, Rais Jakaya Kikwete alipokea ripoti ya ujenzi wa mradi huu kutoka makampuni ya China National Machinery & Equipment Import & Export Corporation (CMEC) ya China na Siemens ya Ujerumani, ambayo kwa pamoja yalitarajia kujenga kituo kikubwa cha kuzalisha umeme kutokana na gesi katika eneo la Mnazi Bay, mjini Mtwara na pia kujenga njia ya kusafirisha umeme ya kilomita 1,100 kutoka Mtwara hadi Singida. Mradi huu ungegarimu dola za kimarekani milioni 684 na Rais aliagiza utekelezwe haraka sana. Huu mradi uliishia wapi? Kwa nini Serikali ipo kimya kuhusu mradi huu ambao ungejibu kabisa maswali ya watu wa Mtwara? .
 
Sasa mbona unamtukana aliyesikiliza radioni bila wewe kusema redioni kaongea nini? Kwani hawezi kuandika kitu kingine kwenye wall na kuongea kitu kingine redioni?. Kwa taarifa yako wewe ndio umeonekana Kenge, tena Kenge Mu Maji

Natafuta kitufe cha LIKE
 
MTOTO WA MTAANI hawezi kuwa na adabu mdomoni.Naomba kule NYAMONGO waamke kama mtwara TIMUENI WAZUNGU mmiliki MADINI YENU
 
Acha kupotosha watu kenge wewe...Nape kasema na kwenye wall yake ya fb kaweka kuwa wanakusini wanahoja ya msingi. isipokuwa wanaochoma nyumba na kuharibu mali za watu na umma ni wahalifu

wewe nae acha kutukana watu,sasa wana mtwara wangapi wana visit wall ya nape fb?au wanasikiliza hiyo radio yenu ya wafu.matatizo ya wana mtwara wanayasolve kwenye media kwa nini wasiende mtwara na kutekeleza ilana ya chama,kazi kupiga kelele kwenye media.
 
Nimemsikia nape radio clouds akihojiwa na na gerald hando.na ameongea huo ujinga.waliofanya vurugu ni wahuni na watashunghulikiwa.ajibu hoja za mashekh na maaskofu kauli waliotoa gas haitoki au ndio hawo anawaita wauni?
 
Ndo ujue NAPE anawapeleka puta, mnabadili aloyasema ili tu mumpunguze kasi,ndo aibu yenu.mwanaume mzima unabadili maneno bila soni?kwani nyie mnawachukuliaje wanaochoma moto majengo na mali za watu,mnawaona wazalendo? Utakuwa hayawani.Na hv mlihamasishana humu msiisikilize hyo redio mbona kila siku mnakuja na habari zake humu,mnaoteshwa enh?
 
Akili anayo ila ameamua kujitoa ufahamu makusudi ili awatukane wana kusini, sipati picha vurugu za Masasi angekuwa bado mkuu wa wilaya pale, ambacho kingemkuta sijui!??, afu huyu dogo ana matusi mno sijui ndo siasa au!!!!!???

Bora uchi wa nguo kuliko uchi wa akili,wahuni hao ni Watanzania na uhuni wanaoufanya ni kwaajili ya rasilimali za hao hao wahuni.Kwani mhuni hana haki?Watnzania wamejitambua sasa watahojiu kila jambo lao ilimradi ni haki yao
 
Back
Top Bottom