Acha kupotosha watu...Nape kasema na kwenye wall yake ya fb kaweka kuwa wanakusini wanahoja ya msingi. isipokuwa wanaochoma nyumba na kuharibu mali za watu na umma ni wahalifu
Huo uhuni waachieni waufanye, wamechoshwa na maigizo ya viongozi wetu. Nawaunga mkono.