A andrews JF-Expert Member Mar 28, 2012 1,679 152 May 24, 2012 #1 TUNAKUKARIBISHA SISI WAPENZI NA WAFUASI WA M4C SIO VIONGOZI TUKALE BATA POPOTE UPENDAPO JIMBONI UBUNGO KWENYE JIMBO ULILOTAKA KUGOMBEA KUPITIA CCJ,MKARIBISHE MUKAMA PIA.PEOPLE'S POWER FOREVER:israel:
TUNAKUKARIBISHA SISI WAPENZI NA WAFUASI WA M4C SIO VIONGOZI TUKALE BATA POPOTE UPENDAPO JIMBONI UBUNGO KWENYE JIMBO ULILOTAKA KUGOMBEA KUPITIA CCJ,MKARIBISHE MUKAMA PIA.PEOPLE'S POWER FOREVER:israel:
A andrews JF-Expert Member Mar 28, 2012 1,679 152 May 24, 2012 Thread starter #2 naona aitishe mkutano wa waandishi wa habari atuambie ccm inkata rufaa ni kweli ccm kwishne rip ccm.
A andrews JF-Expert Member Mar 28, 2012 1,679 152 May 24, 2012 Thread starter #3 TUMKARIBISHE JANGWANI JUMAMOSI AONE NGUVU YA MUNGU,MWENYE WIVU AJINYONGE:A S-baby:
Joseph JF-Expert Member Aug 3, 2007 3,518 1,086 May 24, 2012 #4 Sidhani kama katika hili analo la kusema maana anajua fika kuwa maji yalikuwa shingoni na hawakuweza kuyaogelea na sasa ndio yamezidi kina
Sidhani kama katika hili analo la kusema maana anajua fika kuwa maji yalikuwa shingoni na hawakuweza kuyaogelea na sasa ndio yamezidi kina