Nape kanusha na hili.

Ushindi wa mpira wa miguu ni wingi wa magoli sio chenga,chadema ni mafundi wa chenga ccm wanapiga mabao,kudaadadeki.twenty fifteen mboko za mgongo kama kawa.
 
ITV katika taarifa ya habari jana saa 2 usiku.wameonyesha wenyeviti wa kijiji wa ccm akikiri kwamba M4C inawapa wakati mguu na kushindwa kuongozo.NAPE KANUSHA AU UNASEMAJE KWA HII?

ivi yule meya wa jiji la mwanza kupitia chadomo alieng'olewa kwa ufisadi yuko wapi saivi.
 
Wakati chaga dev manifesto wakiendelea na kelele majukwaani chama dume ccm kinaendelea kutekeleza ilani ya uchaguzi kuwaletea wananchi maendeleo.
 
Wapi huko mkuu? Hata kama ni kweli, huyo Nape hawezi kukanusha kuhusu hao wenyeviti ila atakanusha huu uzi wako!

hawezi kukanusha , yeye badala yakutwanga mamikutano ya nguvu na kuonyesha ukomavu wa kisiasa kwenye majukwaa, yeye sasa hivi anagawa futali mkoani morogoro kwa waislam na makada wa ccm.Yeyeye anaona ndo mkakati wa kukijenga chama
 
Back
Top Bottom