Watu hufikiri kuwa, labda jinsi pekee ya kummaliza mwanasiasa ni kwa kumhonga pesa/kumnunua au kumtoa uhai, LA HASHA. Hakuna njia nzuri kabisa, yenye matokeo bora yasiyo na ghalama kubwa katika kummaliza mpinzani wako kisiasa kama:
KUJUA VEMA udhaifu wake na kuufanya kuwa FAIDA kwako. Kila mwanadamu ANA udhaifu wake. Kanuni hii pia inayofanya kazi katika Nyanja mbalimbali za maisha mfano katika Biashara.
Wapinzani wa Nape wameujua vema udhaifu wake. Na nampa heko aliyewasaidia kuubaini. Udhaifu wa Nape ni mkubwa katika wepesi wa matamshi/maandishi mazito anayotoa katika hadhi yake kama Katibu Mwenezi. Hapa ndiko wapinzani wake ndani na nje ya CCM wanapojizolea maksi za ushindi vitani. Ukiishagundua huu udhaifu na kubaini kuwa kila tamshi la adui yako ni tata, lisilo na hadhi, lenye kejeli, na kuudhi hadhira, na wakati mwingine ujumbe anaotoa siyo wake kazi unayobaki nayo ni rahisi sana. Utamtengenezea misururu ya waandishi wa habari na kumuandalia matukio na hadhira ili ahutubu. Maana unajua kila baada ya tukio, ujumbe wake ukifika kwa hadhira, heshima na mvuto wa mtoa ujumbe vinashuka.
Awali watu walipomwita Nape vuvuzela ilinipa taabu kuelewa walimaanisha nini. Wajua wakati mwingine kama huna kamusi na umekutana na neno jipya katikati ya sentensi, inabidi utumie uelewa wa maneno yale mengine kupata maana ya sentensi. Sasa naweza kupata maana yake kama bomba tupu linalopitisha upepo wa mpulizaji na kutokea upande wa pili kwa sauti pana. Vuvuzela halipitishi ujumbe wake lenyewe na wala halichuji kinachopitishwa. Matamshi na maandishi ya Nape yanampa sifa ya kulichukua jina hili.
Kuna mambo Nape anabolonga kama vuvuzela na kuna mengine mengi anaharibu kutokana udhaifu wake wa kuanzisha ama kuchangia mijadala kwa kutoa hoja nyepesi kwenye masuala mazito. Na mbaya ni kwamba, yeye kila akiletewa MIC anakuwa kama mtoto kaletewa vanilla ice cream, lazima alambe! Akipigiwa simu na mwandishi anahisi yeye ni Encyclopedia Britannica, majibu yote anayo na ni sahihi! Na kwa sababu ya kuwa pitishio la ujumbe asio uasisi, kuendelea kuonyeshaa udhaifu wa Nape pia ni kuanika udhaifu wa anayepitisha ujumbe kwa Nape.
Angalia hii mifano halisi:
Nape anamalizia pumzi yake ya mwisho ya uhai kisiasa. Namshauri ayapokee maoni yangu kama changamoto na yanaweza kumsaidia. Mimi si wa kwanza kumwambia juu ya suala hili. Radio Producer (member JF) naye amewahi kumshauri. Na tunafanya hivi kwa sababu tunamtaka arudi kwenye mstari kwa manufaa ya anachofikiri anakipigania.
- Kauli za Nape juu ya msimamo wa kujivua gamba
- Hotuba ya Nape kwenye Mkutano wa Mwanza juzi - "Nawashukuru Lusinde na Mwigulu kwa utangulizi wenu. …..mmenisaidia kuwabana wagonjwa pua ili mimi niwape dawa"
- Nape kukana maandishi yake mwenyewe juu ya matokeo ya Igunga kwenye ukuta wake FB na ID yake JF
- Kutowajua hata wapinzani wake nje ya CCM (Dr. Slaa na Mbowe-hii bado mbishi kabisa)
- Kauli tata katika midahalo – Ujamaa wa ki-sayansi umepitwa na wakati. Ukiachana na sayansi unashikana na arts (sanaa). Hivyo anamaanisha ccm iko kwenye zama mpya ya ujamaa wa ki-sanii-GOOD! -ccm bado inayaenzi yote aliyoyaanzisha Baba wa Taifa ikiwemo Azimio la Arusha.
Ukiamua kumuua mbwa wako unayemfuga huna haja ya kukimbizana naye, waambie majirani kuwa huyu ni mbwa mwizi anakula kuku pia mbwa huyo anakichaa pia waambie majirani kuwa mbwa wako ni koko anakula mpaka kinyesi, baasi majirani wataokota mawe watampiga na kumuua mbwa huyo bila ya wewe mfugaji kumtupia hata jiwe moja Mbwa. Nape amesema yeye ni mbwa na mfuga mbwa ni CCM.
Ukiamua kumuua mbwa wako unayemfuga huna haja ya kukimbizana naye, waambie majirani kuwa huyu ni mbwa mwizi anakula kuku pia mbwa huyo anakichaa pia waambie majirani kuwa mbwa wako ni koko anakula mpaka kinyesi, baasi majirani wataokota mawe watampiga na kumuua mbwa huyo bila ya wewe mfugaji kumtupia hata jiwe moja Mbwa. Nape amesema yeye ni mbwa na mfuga mbwa ni CCM.[/QUOTE
Uongo uliotumika kwa majirani kuhusu mbwako ni wazi kwamba wewe ndiyo umeemua. Bila wewe kutangaza wajirani wangejuaje? I dont get the point here! nisaidieni.

You don't the point rudia kusoma tuliza akili acha kusoma huku unatokwa povu umejiandaa kupinga kabla hujajua maana kama ulivyo fanya hapo juu .
Ukiamua kumuua mbwa wako unayemfuga huna haja ya kukimbizana naye, waambie majirani kuwa huyu ni mbwa mwizi anakula kuku pia mbwa huyo anakichaa pia waambie majirani kuwa mbwa wako ni koko anakula mpaka kinyesi, baasi majirani wataokota mawe watampiga na kumuua mbwa huyo bila ya wewe mfugaji kumtupia hata jiwe moja Mbwa. Nape amesema yeye ni mbwa na mfuga mbwa ni CCM.[/QUOTE
Uongo uliotumika kwa majirani kuhusu mbwako ni wazi kwamba wewe ndiyo umeemua. Bila wewe kutangaza wajirani wangejuaje? I dont get the point here! nisaidieni.
CCM ni wenye Mbwa, Nape ndo Mbwa mwenyewe. CCM imemtoa Nape kafara ambapo ni sawa na mwenye mbwa kumtelekeza mbwa wake apigwe mawe na majirani kwa kumsema ni mbwa koko, then jaribu kuwa makini unaporepy with quote.
b) Nape Nnauye, Katibu Mwenezi wa CCM (Kundi fulani linalowania Urais 2015)
Kijana huyu namfananisha na saratani ndani ya mwili. Hivyo sintakosea nikisema ni "Saratani na Janga kwa CCM". Badala ya kueneza sera za CCM ameamua kueneza sera za upande mmoja na kujaribu kuutukana upande ambao hakubaliani nao kisiasa. Siamini kama anaeneza chochote kinachohusu au kitakachosaidia CCM kukubalika na wananchi na wana-CCM. Amekuwa vuvuzela la baadhi ya watu.
Hahahaaa, tangu jana nacheka mwenyewe mara nikikumbuka "Ntawashikisha ukuta......."
Naanza kuamini maneno niliyoyasema mwenyewe baada ya kuona hii picha jinsi anavyochekelea kugawa kanga kwa wanaume.
Angalia vizuri utaona mama mmoja tu kasimama anasubiri mgawo wa khanga, ila Nnape yeye na WASHIKA UKUTA.
Hivi TAKUKURU walikuwa wapi hapa? Maana hii inaonyesha kuwa ni rushwa ya KHANGA na KOFIA kwa kwenda mbele.Hahahaaa, tangu jana nacheka mwenyewe mara nikikumbuka "Ntawashikisha ukuta......."
Naanza kuamini maneno niliyoyasema mwenyewe baada ya kuona hii picha jinsi anavyochekelea kugawa kanga kwa wanaume.
Angalia vizuri utaona mama mmoja tu kasimama anasubiri mgawo wa khanga, ila Nnape yeye na WASHIKA UKUTA.
Watu hufikiri kuwa, labda jinsi pekee ya kummaliza mwanasiasa ni kwa kumhonga pesa/kumnunua au kumtoa uhai, LA HASHA. Hakuna njia nzuri kabisa, yenye matokeo bora yasiyo na ghalama kubwa katika kummaliza mpinzani wako kisiasa kama:
KUJUA VEMA udhaifu wake na kuufanya kuwa FAIDA kwako. Kila mwanadamu ANA udhaifu wake. Kanuni hii pia inayofanya kazi katika Nyanja mbalimbali za maisha mfano katika Biashara.
Wapinzani wa Nape wameujua vema udhaifu wake. Na nampa heko aliyewasaidia kuubaini. Udhaifu wa Nape ni mkubwa katika wepesi wa matamshi/maandishi mazito anayotoa katika hadhi yake kama Katibu Mwenezi. Hapa ndiko wapinzani wake ndani na nje ya CCM wanapojizolea maksi za ushindi vitani. Ukiishagundua huu udhaifu na kubaini kuwa kila tamshi la adui yako ni tata, lisilo na hadhi, lenye kejeli, na kuudhi hadhira, na wakati mwingine ujumbe anaotoa siyo wake kazi unayobaki nayo ni rahisi sana. Utamtengenezea misururu ya waandishi wa habari na kumuandalia matukio na hadhira ili ahutubu. Maana unajua kila baada ya tukio, ujumbe wake ukifika kwa hadhira, heshima na mvuto wa mtoa ujumbe vinashuka.
Awali watu walipomwita Nape vuvuzela ilinipa taabu kuelewa walimaanisha nini. Wajua wakati mwingine kama huna kamusi na umekutana na neno jipya katikati ya sentensi, inabidi utumie uelewa wa maneno yale mengine kupata maana ya sentensi. Sasa naweza kupata maana yake kama bomba tupu linalopitisha upepo wa mpulizaji na kutokea upande wa pili kwa sauti pana. Vuvuzela halipitishi ujumbe wake lenyewe na wala halichuji kinachopitishwa. Matamshi na maandishi ya Nape yanampa sifa ya kulichukua jina hili.
Kuna mambo Nape anabolonga kama vuvuzela na kuna mengine mengi anaharibu kutokana udhaifu wake wa kuanzisha ama kuchangia mijadala kwa kutoa hoja nyepesi kwenye masuala mazito. Na mbaya ni kwamba, yeye kila akiletewa MIC anakuwa kama mtoto kaletewa vanilla ice cream, lazima alambe! Akipigiwa simu na mwandishi anahisi yeye ni Encyclopedia Britannica, majibu yote anayo na ni sahihi! Na kwa sababu ya kuwa pitishio la ujumbe asio uasisi, kuendelea kuonyeshaa udhaifu wa Nape pia ni kuanika udhaifu wa anayepitisha ujumbe kwa Nape.
Angalia hii mifano halisi:
Nape anamalizia pumzi yake ya mwisho ya uhai kisiasa. Namshauri ayapokee maoni yangu kama changamoto na yanaweza kumsaidia. Mimi si wa kwanza kumwambia juu ya suala hili. Radio Producer (member JF) naye amewahi kumshauri. Na tunafanya hivi kwa sababu tunamtaka arudi kwenye mstari kwa manufaa ya anachofikiri anakipigania.
- Kauli za Nape juu ya msimamo wa kujivua gamba
- Hotuba ya Nape kwenye Mkutano wa Mwanza juzi - "Nawashukuru Lusinde na Mwigulu kwa utangulizi wenu. …..mmenisaidia kuwabana wagonjwa pua ili mimi niwape dawa"
- Nape kukana maandishi yake mwenyewe juu ya matokeo ya Igunga kwenye ukuta wake FB na ID yake JF
- Kutowajua hata wapinzani wake nje ya CCM (Dr. Slaa na Mbowe-hii bado mbishi kabisa)
- Kauli tata katika midahalo – Ujamaa wa ki-sayansi umepitwa na wakati. Ukiachana na sayansi unashikana na arts (sanaa). Hivyo anamaanisha ccm iko kwenye zama mpya ya ujamaa wa ki-sanii-GOOD! -ccm bado inayaenzi yote aliyoyaanzisha Baba wa Taifa ikiwemo Azimio la Arusha.
mkuu Caroline Danzi -waswahili husema fumbo mfumbie mjinga werevu walingamue ,wacha waerevu tuendelee kusoma uzi huoYou don't the point rudia kusoma tuliza akili acha kusoma huku unatokwa povu umejiandaa kupinga kabla hujajua maana kama ulivyo fanya hapo juu .