Mimi nilikuwepo katika kikao cha leo cha Nape na Waandishi, kweli nimeamini waandishi ni viazi, kwani alichofanya nape ni kusisitiza na kufafanua zaidi kile kinachokwenda kufanywa na vikao vinavyoendelea hapa Dodoma, kubwa likiwa ni kwamba katika agenda ya Yatokanayo na kikao kilichopita, yapo maadhimio 26, na kwamba la kuondosha wale wanaotuhumiwa kwa ufisadi, ni moja ya agenda, hivi kweli hapo ndiyo Kubadili maneno yake ya awali? au kusisitiza kwa undani zaidi? tuwe makini ukweli kama ndiyo uandishi huu kwa sasa basi sinunui tena gazeti maana ni balaa, na ukweli naamini utadhihirika mara baada ya vikao hivi kumalizika, waking'olewa hao mnaowatukuza, nadhani aibu itawajeukia waandishi