Mufiyakicheko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 892
- 86
Watanzania sasa muone Kiongozi kama Nape anadhubutu kukana maneno aliyoyatamka yeye mwenyewe na Kuwasingizia Waandishi wa Habari kuwa walimkariri sivyo, hii ni dharau kwa Watanzania na Waandishi wa habari kwa upande Mwingine.
tuesday, july 19, 2011
nape nnauye asema rostam amefanya jambo jema
[table="class: Tr-caption-container, width: 1, align: Center"]
[tr]
[td][/td]
[/tr]
[tr]
[td="class: Tr-caption"] katibu wa halmashauri kuu ya taifa (nec), itikadi na uenezi, nape nnauye, aliyasema hayo wakati akiongea na baadti ya waandishi wa habari wa mbeya katika ukumbi wa hotel ya paradise amesema chama hakina la kusema, lakini kikubwa ni kuwa amefanya jambo jema, kwa kuitikia wito wa chama, uamuzi ambao ni mzuri na wa busara," alisema nape. Kuhusu mkutano wa hadhara wa mjini mbeya, nape alisema unalenga kuwaelezea wanachama wa ccm na wananchi kwa jumla, juu ya mabadiliko ya uongozi ndani ya chama, msingi wake ili waweze kuelewa, ccm imetoka wapi, ipo wapi na inakwenda wapi,[/td]
[/tr]
[/table]
Nape Mnauye wakati akiongea na vyombo vya habari mjini Dodoma leo ambako vikao vya Chama cha CCM vikiendelea amebadilisha kuali mbiu ya awali aliyokuwa akizunguka nchi nzima kutangaza majina ya wanaotakiwa kuachia ngazi . Leo kaja na mpya kwamba vyombo vya habari vilipotosha ukweli wa maana ya kuvua magamba kwa maana ya kubadilika na wala si kuwafukuza watu. Hii imekaaje?
Huyu mbona ndiyo zake kamkana baba yake mzazi, ameshindwa hata kwenda kumjulia hali huko Apollo India, ashindwe kukana kauli aliyoisema mwenyewe? Mimi nawashauri wale aliowataja majina wamshitaki huyu mbwiga.
kwani hawa waandishi hawana video??yupo sawa mkuu sema waandishi wa bongo nasisi wananchi bado hatujanawa uso waandishi wakiacha kuandika habali zake nasisi wananchi tusiende kwenyemikutano yake akijaa na tisheti,kofiya tumwambie tutajinunulia wenyewe anaujanja ganii? Tumemudekeza akisema kesho anakanusha kesho kutwa munamushangiliya waandishi nawo wanajipendekeza munataka nape afanyeje
Nape Mnauye wakati akiongea na vyombo vya habari mjini Dodoma leo ambako vikao vya Chama cha CCM vikiendelea amebadilisha kuali mbiu ya awali aliyokuwa akizunguka nchi nzima kutangaza majina ya wanaotakiwa kuachia ngazi . Leo kaja na mpya kwamba vyombo vya habari vilipotosha ukweli wa maana ya kuvua magamba kwa maana ya kubadilika na wala si kuwafukuza watu. Hii imekaaje?
Taaaanzania tanzaniaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nakupenda kwa moyo woteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nchi yangu tanzaniaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa jina lako ni tamu sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.. nilalapo naota UFISADIIIIIIIIIIIII, Niamkapo ni boranifeeeeeeeeeeee tanzania tanzaniaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa simpendi rais wakeeeeeeeeeeee