Nape, January, Stergomena, Gwajima's & Halima Mdee sijawaona kuchukua Fomu CCM, tatizo nini?

Nape, January, Stergomena, Gwajima's & Halima Mdee sijawaona kuchukua Fomu CCM, tatizo nini?

January, Gwajima na Nape wamekataliwa na huu Utawala wa mtu mjinga anayechukia wenye akili.

Stergomena atakuwa kapima kina cha wapinzani wake jimboni Kaona ni kirefu.

Halima Mdee ameogopa kujiunga na CHAUMWA ili asije kuumwa, hivyo kaamua asubiri reforms.
 
Kwa status za waliotajwa si rahisi kuchukua Fomu na isijulikane. Tofauti na mdada kama wewe ulienda kuchukua Fomu hakuna anayekujua ukiacha danga lako
Mimi ni kidume na danga langu ni mamaako. Kama unabisha ebu mpigie simu sasa hivi halafu uone kama sijapokea na nikipokea maneno ya kwanza nitayokwambia ni "Unasemaje sasa nipo na danga langu"! Piga sasa kama huamini! Nyambafu!!
 
Pamoja na kulipwa MAFAO ya ubunge takribani 600m TZS kila Mheshimiwa iweje hamkuchukua tena Fomu za kuomba uteuzi wa Chama Chetu? Au mmeamua kustaafu na Dr Majaliwa?
Wapo bench a.k.a mbao ndefu.
 
Makamba hua anammsikiliza Makamba senior kwanza. Na mjue Makamba seniour ni mkilindi. Wakilindi hua wanafanya consultation kabla ya jambo kubwa. Wakiona Kuna Moshi mbele wanaachana nalo.
Nape amegundua kwamba jina halitarudi kwa kule kuweweseka kwake akiwa amebugia visungura Bukoba, Hala kwa point zake 29 division 4 ambapo siasa alipata F Hana mbinu za kisiasa na ikumbukwe safari hii hakuna wa kumbeba kama alivyokumbatiwa na mchepuko wa betina.
 
Back
Top Bottom