Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,615
- 17,607
Nape hawezi kukatwa Mama...haweziii...Nape Kaka yangu jiandae kukatwa 2020.Mwenyekiti lazima awashughulikie so jiandae kukaa kijiweni another 5 years.Najichekesha mwenyeww
Huyu wangemrudishia uwaziri wake yaishe, ule uwaziri umemuuma sana
One day you will come back to your senses as well. I don't think you are even better than Nape.Kijiwe kinamtafuna mpaka ameanza kupata akili.
Mpeni kwanza kazi ya kufuatilia makinikia yameishia wapi?Makamanda tumuombe Nape awe mwenyekiti wetu wa Chadema.
Kamanda sio hivyo. Huyu Nape anatufaa sana huku Chadema.Mpeni kwanza kazi ya kufuatilia makinikia yameishia wapi?
Unaakili za mende hujui kama wamlikataa hilo deni??Akili zenu kashika bashiteMbona unapiga ramli?coz hata swala la deni halijaisha ingawa unasema tumepoteza. Haya nayo unasema ni maigizo. Hivi hizi ramli zinatofaut na zile za TUTASHITAKIWA mara MIGA mara hawawez kuja kujadl ujinga mara majadiliano yamevunjika?TUKISEMA BAVICHA sikuiz mmegeuka wapiga ramli tunakosea?
Hilo deni wamekataa wapi?Unaweza kuthibitisha kuwa wamekataa kulipa hilo deni?Unaakili za mende hujui kama wamlikataa hilo deni??Akili zenu kashika bashite
Wewe akili huna siwezi kukuthibitishiaHilo deni wamekataa wapi?Unaweza kuthibitisha kuwa wamekataa kulipa hilo deni?
Sawa mkuu,jua humu jf kila mtu sio popoma. Jitaid kuwa unaongea kitu ambacho ukiulizwa 100% unaweza kukitetea. Siku nyingine usirudie kuropoka.Wewe akili huna siwezi kukuthibitishia
Nilivyokuambia kuwa akili huna ndio ukweli huo wewe umesema kuwa deni linalipwa deni lipi linalipwa na nani?? Litalipwa lini?? Muache kujipongeza kwa unafiki Mara muwaite wezi Mara walipe deni kipi sahihi uache ujinga??Unambie ulichokitetea ni kipi??Sawa mkuu,jua humu jf kila mtu sio popoma. Jitaid kuwa unaongea kitu ambacho ukiulizwa 100% unaweza kukitetea. Siku nyingine usirudie kuropoka.
posti fromu Nokia kitochi yuzingi jamii forum
Mkuu umepanic sana.Nilivyokuambia kuwa akili huna ndio ukweli huo wewe umesema kuwa deni linalipwa deni lipi linalipwa na nani?? Litalipwa lini?? Muache kujipongeza kwa unafiki Mara muwaite wezi Mara walipe deni kipi sahihi uache ujinga??Unambie ulichokitetea ni kipi??
Ashafeli vingi sana viwanda amefeli kuja viwonder,mapato hali tete,ajira mpya kizungumkuti ,million 50 ngoma ngumu,ufisadi hakuna aliyefungwa sasa kafaulu nin??Mkuu umepanic sana.Kwa magufuli mtasubiri sana afeli.
Endelea kuzungusha mikono.mara paaaap 2020 hii hapaAshafeli vingi sana viwanda amefeli kuja viwonder,mapato hali tete,ajira mpya kizungumkuti ,million 50 ngoma ngumu,ufisadi hakuna aliyefungwa sasa kafaulu nin??
Endelea kumkatia viuno bashite labda nawe utateuliwa viti maalumuEndelea kuzungusha mikono.mara paaaap 2020 hii hapa
Mshikaji unajua kunanga dah hatarihuyu apambane na hali yake si alijua ataonekana live yeye peke yake, naona sasa hv tupo wote twitter na jf halafu kuna yule mwanadada shuzi sijui ndo yupo live. maisha bwana
Namshauri kakagangu....Silence is always golden!