Nape hoi jimboni Mtama

Nape hoi jimboni Mtama

njooni kwa hoja!!changieni thread za akili!!c mtu akitumia ----- wake kama manyumbu mna comment!!haya mpinzani kula za maoni alipata 4000!!nape 9000!!! Sasa nani mwenye kazi ya kumshinda mwenzake tena kahama na chama!!!wana mtama walewale!!!njooni na data nc tuelewe!!
 
njooni kwa hoja!!changieni thread za akili!!c mtu akitupia ----- wake kama manyumbu mna comment!!haya mpinzani kula za maoni alipata 4000!!nape 9000!!! Sasa nani mwenye kazi ya kumshinda mwenzake tena kahama na chama!!!wana mtama walewale!!!njooni na data nc tuelewe!!
 
Nikiambiwa kupanga mburura CCM huyu jamaa ndo my no 1. Na ashindwe kabisa, kiburi cha pesa za CCM kilimfanya atutukane
 
Mwaka huu ndio mwisho wa jeuri na kiburi na kashfa
 
njooni kwa hoja!!changieni thread za akili!!c mtu akitupia ----- wake kama manyumbu mna comment!!haya mpinzani kula za maoni alipata 4000!!nape 9000!!! Sasa nani mwenye kazi ya kumshinda mwenzake tena kahama na chama!!!wana mtama walewale!!!njooni na data nc tuelewe!!

....KULA....ndio kitu gani wewe kilaza?
 
Hapa ni kazi tu....gonjwa peleka hospitali...
 
Nape ni mtoto mdogo sana kwa Lowassa, namshangaa alivokuwa anamtukana. Mwenyenzi Mungu atamlipa na ndo sababu Mzee Lowassa hakumjibu.Majibu atayapata toka kwa Muumba.
 
njooni kwa hoja!!changieni thread za akili!!c mtu akitupia ----- wake kama manyumbu mna comment!!haya mpinzani kula za maoni alipata 4000!!nape 9000!!! Sasa nani mwenye kazi ya kumshinda mwenzake tena kahama na chama!!!wana mtama walewale!!!njooni na data nc tuelewe!!

Mkuu hapo 7,000 hazikuwa halali. zilitengenezwa. subiria oct.
 
Nape ni mtoto mdogo sana kwa Lowassa, namshangaa alivokuwa anamtukana. Mwenyenzi Mungu atamlipa na ndo sababu Mzee Lowassa hakumjibu.Majibu atayapata toka kwa Muumba.

Kati ya viongozi wavumilivu sana ni lowasa
 
Picha ni muhimu..
IMG_0758.JPG
 
Back
Top Bottom