Nape deserves an oscar for this brilliant performance

Bwanamdogo chunga sana huyo mzee hua hapewi mikono hovyo ataku mwakyembe...shauri yako
 
Huyu bwana mdogo Nnauye ni mbwa anayebweka sana lakini kumbe ni kibogoyo.
 
Naona hadi wajumbe wengine nyuma wanaikodolea macho hii muvi, good..!
 
Hiyo picha ya kwanza,mbona kama sumaye bin zero anamkwepa nape? Siasa bana,yaani drama kushinda ndoa!
 
Mtoto kwa Baba hukui, hao ndio walezi wake. Heshima kwanza ni muhimu.
 
Hii kama movie ya hollywood kabisa' Lakini nadhani igizo linaendelea
 
Duh, picha ya kwanza utadhani Kingunge amemuona mtoa roho Israil.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…