TANU ilifanikiwa kumtoa mkoloni kwa njia za harakati zilizokuwa zikipambana dhidi ya sera mbovu za mkoloni.Leo hali imejirudia tena,sera mbovu za afya,elimu,nishati,usimamizi wa rasilimali za nchi na fedha za umma zinahitaji zaidi ya ushindani wa sera baina ya upinzani na chama tawala mfululizo tangia uhuru.kama nilivyojadili elsewhere,a political movement ni tofauti na a political party kimalengo,kimkakati,kiuendeshaji,n.k,na vyote hivi viwili ni halali katika demokrasia ya uliberali.wa kuamua nini kinaweza leta mabadiliko ya haraka na umma,sio ccm au wapinzani wa chadema.CCM mwaka 2010 tulianzisha a movement ya kutafuta kura za vijana,kina mama n.k yenye kulenga kukipatia chama a new image nje ya uchwara wa uvccm na ilikuwa ni kabla hata ya ujio wa M4C lakini wakubwa wakadhania ni wajuaji na kuhakikisha movement husika haifanikiwi kumbe ni malimbukeni.
CCM needs a political movement to stir interest ya vijana na siasa,uvccm,uwt hazina maana tena kwa chama nje ya chaguzi za ndani za ccm.orientation ya movement ni a cause,na hivyo ndivyo mabadiliko ya kweli hujitokeza.sera ni matokeo.