Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,467
- 7,259
Huyu jamaa hawezi kulala bila kutaja CHADEMA! Kweli NAPE ana matatizo. Unawezaje kutenganisha siasa na Harakati za Ukombozi?
Ushauri kwa Nape na wenzake.
Kama CHADEMA wameishiwa sera, wamefilisika kisiasa, hawana mvuto kwa umma, au jingine linalofanana na hayo; then anatakiwa kushangilia na kisha atulie sasa kwa kuwa kazi yake imeshakuwa nyepesi. CCM wote watulie majumbani kwao kwakuwa mshindani wao wa karibu (CHADEMA) kachemsha. Kelele za nini? Tangu lini CCM akawa mshauri wa CHADEMA eti kwa lengo la kuiboresha na kuitakia mema? Naungana na Ndugu Crashwise hapo juu kwamba sio kila asemacho huyu dogo mnakileta humu as a burning issue, mnatujazia saver bure!
Tunajua nape ni kichaa sasa wewe unaoleta thread hii tunakuona kichaa kuliko nape.........weka hoja achana na huyu chizi
Mi Nadhani Nape sio kichaa ni Mzima, shida yake ni UVUVUZELA!
Ila wewe SHANGWA FRANCIS,ndie Kichaa au "PUNGUANI".kusema kuwa hii hoja haikufaa kuletwa hapa,Inaonyesha ni kiasi gani baadhi ya Watu kama wewe mnaojiita Wana Chadema, mnampa Nape kichwa Kwa Kuogopa kumwambia Ukweli, anapo Jiropokea! Ulitaka kauli hii aliyoitowa tukaijadili wapi??
Au ulitaka tusilete habari kama hii inayomhusu VUVUZELA NAPE, halafu tulete habari inayomhusu Baba na Mama yako kwamba jana walilala Chumbani tena kitanda kimoja! Kwani wewe hadi umri huu ulionao hukuwahi kujua hayo hadi utake sisi ndio tukuambie ujinga huo!
Akili zingine bwana hazina Akili!
MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!!
MUNGU IBARIKI CHADEMA!!!!
Labda hujitambui Ndugu, Nadhani huna tofauti na huyu VUVUZELA NAPE, asietaka kuona CDM ikiendeleza siasa za Kiuwarakati!!
Wewe pia hutaki watu Walete Topic kama hizi ktk Jukwaa hili,kwa sababu ya Ufinyu wako wa Kufikiri kuwa Mdogo! Hili ni Jukwaa la Siasa, sasa unataka tulete Maswala ya Mapenzi huku!?
Kabla ya Kukoment ulitakiwa Utafakari kwanza, usipende Kukurupuka kama NAPE! Kila mtu ana haki na Uhuru kuripoti jambo lolote humu, Ilimradi ni jambo la kweli na lenye uwezekano wa Kujadilika!
MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!!
MUNGU IBARIKI CHADEMA!!!!
Huyu jamaa hawezi kulala bila kutaja CHADEMA! Kweli NAPE ana matatizo. Unawezaje kutenganisha siasa na Harakati za Ukombozi?
Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM, NAPE NAUYE, amesema kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA] kimefilisika kisera,na badala yake kimebakia kuwa chama cha Wanaharakati!
Hivyo aliishauri CHADEMA, kuachana na Siasa hizo za Kiharakati!!
Source: Gazeti la Mtanzania
Tatizo lenu CDM hamtaki kuambiwa ukweli