Nape: CHADEMA wamepanga kufanya fujo mkutano wao Morogoro

Shame on nape..Dr Slaa amejaaliwa na Mungu akomboe nchi-c ka ww ulopewa cheo kulipa fadhira kwa alofanya babako!mwe ka kachizi hv
 
nape kawa kama juha ivi eh kweli ccm inakufa, yani ccm ina jeshi, polisi, tiss, mahakama, pccb ati wanashitaki kufanyiwa fujo na cdm, mkome mlidhani mtatutawala milele, jiandaeni kuwa oposition paty

Wakishatoka madarakani chama kinasambaratika na kufa maana wote wanaoenda ccm sasa wapo kimaslahi zaidi tena kwakuiba na rushwa
 
Nilipoona jina la Nape nikajua labda leo atakuwa amezungumza kitu cha maana, kumbe ni muendelezo wa uropokaji. Hivi ni lini wewe mtu utakuja kushtukia kuwa CCM wanakutumia kama yale maputo yanayokaa matatu kwenye pakiti?.
 
Ngoja nilale manake nimecheka hadi basi hivi queen aliambulia kitu kweli jamani Iddi Amin alikuwa anajidai na broken english yake
 
Jamani labda mie mshamba... Maswali ya Nape hata mtoto wa class 4 atayatupia kipande cha jani.. Hatojibu!.. Ni hoja nyepesi zilizoshindwa kuhimili mikiki na mitikisiko ya kisiasa!.. Ni hoja za kitoto!.. Yes! Kitoto In deed!
 
mkigoma imba wimbo huu kupendezesha hii thread. Haya moja 2, taaatu twendee peeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeooooooooooooooooopleeeeeeeziiiiiiiiiiiii malizia hapooo poooooooweeeerrrr
 
Nisha semaga, huyu dogo ana akili either kubwa zimemzidi au ndogo hazimtoshi! Hivi unaweza kujifanyia fujo kweli?
 
CCM wamemwacha huyu bwana mdogo ahangaike mwenyewe kwani wao wanajua mipango yote lakini yeye ameachwa kama chambo. Ni huyu huyu Nape ambaye alikuwa analalamika kuhujumiwa na serikali ya JK na EL. Leo kupewa nafasi tu, basi kawa vuvuzela tu

KAMANDA unayosema ni kweli nape amepoteza mwelekeo kabisa Anataka kuwadanganya watanzania kwamba ni wajinga kama wao na ccm yao CHADEMA wamefanya operation nchi nzima hakuna sehemu ambayo CHADEMA imesababisha fujo bali ccm na polisi ndio wamekuwa wanasababisha vurugu maeneo mbalimbali ...... ANAWADANGANYA WANAMOROGORO ILI WASIENDE KWENYE MKUTANO ....... Ila akumbuke VITISHO walivyotoa IGUNGA Vimeshawagarimu tayari asiwe mwepesi wa kusahau
 
Kweli siri iko wazi na kila mtu ccm uwezo wake wa kufikiri unawekwa hadhalani! Nape! Mmmmh, au wamemdangaya ndio siasa?
 

hahah hahah yule jamaa pamoja na kuwa na mwili mkubwa nna mashaka kama zilikua zinamtosha sawia!!
 
kweli ccm muda wao umekwisha wa kuongoza taifa tajiri kama hili.dogo nape tunashukuru kwa kazi nzuri ya kuvuruga chama,ngoja na mwenzio mwenye kuweka skafu ya bendera ya aje jimboni adanganye eti kanunua vitabu vya sekondari wakti ni msaada pia hakiuzwi,
 

hiv nape inawezekana CDM kikachimba mtaro katkat ya barabara ili kuzuia gari yake ili kisiwafikie wananchi...ebu litoleee kauli hili hapa...

my take
puuzien huyu mtu anaitwa Nape asitupotezee muda..tuna mengi ya kufanya....hivi yeye hajishangai kila siku kujibu tuhuma tu..wenzake wana program ya kazi zao yeye kazi yake kujibu ya wenzake....wht a reactive leader this guy is...tunajua inauma sana kuona chama kilichokuwa kinaheshima na kuogopwa kuona leo hii wananchi wanakiona kama masalia ya chakula, lakn kwa mwanademokrasia yeyote makini na mtu mwenye hekima ni busara kukubaliana na ukweli CCM is definatelly becoming loughing stock...wakati ukuta...tutashuhudia anguko la aibu la wahafidhina hawa si kitambo......Aluta Continua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…