Nape: CHADEMA wamepanga kufanya fujo mkutano wao Morogoro

Sijaipenda sana hutuba yake kwa wanahabari.Kwanza kwa muda huo huo ka-contradict mambo,halafu kawa Mwepesi kutoa maneno mabaya kwa Dr Slaa.Nadhani hukumu ya Leo haijamfundisha Kitu.Hukumu ya leo ni kua CCM haiwezi kila Kitu na ikitokea kajiweka Pabaya inaweza kuwa ndio mwisho wake kisiasa.Angalau ingekuwa ingekuwa mwisho huku ukiwa na mihela kibao isiyoweza kuletea shida.Ni msemaji wa CCM ila busara itamlipa kuliko Lusinde.Ingawa Anapata upinzani ila hakuwa akisikika katika matusi,na hiyo ndio ingekuwa ndio nguvu pekee ya kumpatia masikio ya watu ili amwage sera.

-Kwanza kakanusha.
-Kashutumi CMD kuwa ni waongo.
-Halafu kakubali kuwa huwa wanapiga Kambi,katoa maelezo haraka haraka kuhusu hizo Kambi, halafu kahamia kumkejeli slaa.kejeli zake zimeenda mbalia sana kwa kiasi kinachoweka ukuta mkubwa zaidi yake na CDM.Na itapelekea kuwafanya CDM wajikite katik kutoa proof kwa hasira na popote .

-Nape katoa sababu nyepesi za utetezi kuwa vijana wapo katik chaguzi.Ila anasahau kuwa raia wa kawaida atajiuliza ?Kwani vyombo vya ulinzi na usalama navyo si vina vijana?Halafu pia vijana si lazima wote wawe Dodoma.Pia kauli ya Dr. Dlaa haijaweka wazi mchakato ungefanyika vipi na hivyo kutoa Nafasi ya CDM wa kauli ya slaa anauwezo wa kuthibitisha kuwa Morogoro na Dodoma si mbali.

-Nape katoa shutuma kwa njia dhaifu sana, hata kama CDM walikuwa na hilo lengo,ingawa kwa record CDM bado hawajaonyesha leta fujo wakiwa peke yao.CDM wapo katika better position kujitetea na kusikilizwa na wananchi.Sasa kinachofuatia ni majibizano kwa staili ambayo ,kama mheshimiwa Nape angekuwa kapunguza haraka na kuongeza umakini asingejiweka katika nafasi ya kupigana yeye kama yeye na CDM.Ila angacha CCM na CDM.Yeye kama yeye ajue kuwa anavyojiweka katika hali kama hizo si salama sana,kwani kama CCM ni kutoka,itatoka tuu napengine kufa kabisa.Yeye bado ni kijana na atakauwepo hata baada ya hayo matukio,sasa angejua tuu kusimama kwake jukwaani na kutoa maneno ambayo siku nchi inaangukia katika vita mbaya.Hata kama na CDM kuna watakaotakiwa katika mahakama ya kimataifa, yeye nae atakuwepo.

Kwa ujumla bila kutoa hukumu kama alichosema yeye,au alichosema dr. Slaa ndio kweli, au wote waongo, ama wote wana ukweli nusunusu, Mh.Nape hajanifurahisha, kaonekana kuwa na ujasiri wa sauti na sura ila kauli dhaifu saana na zinamshitaki kuliko hata anavyoshutumu Dr.Kaongea kwa kauli dhaifu sana na zinazokaribisha m4C imgeukie yeye badala ya Chama chake.Kwa mwana siasa makini makini huwa hakupaswa jiweka kuwa target au hata kumfanya mpinzani atumie makomboro makubwa.Huku wangeweza tumia mepesi wakifanya mizaha huku wakiamini kuwa wanakujua kuwa ndivyo ulivyo.Sasa hili la kuwaambia polisi wakalazishe toa ushahidi ni kuthibitish aliyosema dr. kuwa kuna mengi hawajayafanyia kazi na kuwa kazi yao ni kulinda serikali na si raia.

Kwa ujumla nilitegemea mheshimiwa Nape angepangilia sana hotuba yake, angetoa maneno yenye kujiepusha kuwasha moto, moto ambao si mzuri kwake kisiasa.Kwani jamaa wakiwaka nae hatakuwa tena thamani jukwaani.
 
....amewaomba polisi wamuombe dr slaa ushahidi kuwa ccm wameingiza silaha kwa ajili ya vijana wao waliopo makambini, akiri kuwa uwa ccm uwa wanawaweka vijana makambini kujadili mambo mbalimbali.

....asema chadema wamepanga kujifanyia fujo kwenye mkutano wao utakaofanyika morogoro mjini.

my take:

Hivi itawezekanaje wewe kujifanyia fujo kwenye mkutano wako mwenyewe?

Source: Itv
ccm wanaweza kuwa na mpango wa kuvamia mkutano wa chadema na kufanya fujo na kama kawaida yao watangaze kuwa chadema imefanya fujo nape siyo mjinga hivyo.
 
ccm wanaweza kuwa na mpango wa kuvamia mkutano wa chadema na kufanya fujo na kama kawaida yao watangaze kuwa chadema imefanya fujo nape siyo mjinga hivyo.


nina wasiwasi na Nape kama anajua kwamba kwenye chama chake anapambana peke yake maana yeye peke yake ndo mtoa maneno kila uchwao wakati wenzie wakiwa pembeni wakimchora..akidhani kwamba anasapotiwa na wenzake anajidanganya sana coz alon he is dying..poor Nape
 
anasema kwenye kontena la kura walimsamehe Dr.Slaa kwani walijua anatamani kuingia ikulu,Ila kwa hili hawatasamehe, aidha amesema kuwa dr Slaa anazeeka vibaya awaachie vijana wafanye siasa

Kama vijana wenyewe ndio kama yeye bora tuwaachie tu wazee.
 
Nepi ya mavi ni bonge la tahira hacha wamtumie vibaya mkama anajifacha kasoma alama za nyakati,anajua mwisho wake ngoja yeye mwisho wake atauona sijawai kijana primitive kama nape anadhani siasa za propaganda zitaiokoa ccm dokta slaa huwa haropoki ******we na ukoo wako nape.
 
Huwezi kuwa na mtoto aliyepata maleI kama ya nape halafu utegemee ataongea vitu vya maana
 
Tatizo la nape, ni kukisemea chama yeye kama yeye, wenzake wamemwacha peke yake! Suala la silaha nape awaulize wenzake asikurupuke. Kuna sehemu katika nchi yetu green guards wana bastola! Nape awahoji wenzake vizuri!
 
Nape shame on you! Unaongea kama huna akili na wale unaowaambia hawana akili kama wewe. Nenda polisi ukawaambie Mmepata kisingizio cha kuanzisha vurugu na kusingizia wenzenu.
 
kwenye kontena la kura tulimsamehe alisema ccm wameingiza kontena kura kupitia mpaka wa Tunduma kwa kuwa tulijua ni kihoro cha kushindwa lakini kwa hili la kuzua kuwa CCM wameingiza silaha hatutamsamehe. alisema Nape. source. Jambo Leo.
 
Nape is another comical Ally. Mnakumbuka vita ya ghuba na mabomu ya scud? 'tumeshawazunguka na sasa vikosi vyetu vinawaua kama mchwa...' Uzuri mmoja ni kuwa ccm wanajua kuwa hizo wanazofanya ni propaganda na wala si siasa
 
Nape atakuwa na ushujaa gani wa kusema kwenye aibu waliyopata jana huko Igunga.

Nape soma nyakati kijana wangu.
 
Hata kama Mungu amekunyima busara lakini kwa Utashi wa Kibinadamu huwezi Kumwita Mwenzako Mjinga. Duh! Nape tumia malezi ya kawaida, Cheo ni Dhamana.
 
Back
Top Bottom