Mr. Mangi
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,515
- 766
sometimes ni vigumu kuwaelewa wapinzani wa Tanzania,kwa kuwa kabla ya yote tulijua licha ya kushindwa kwa katiba ya ccm walau kungekuwa na tume huru,tuwaelewaje nyie ukawa.
hata mi nawalaumu ukawa na upinzani kwa ujumla wapo kama vile hawapo wamepokea 230m wamegeuka viziwi na mabubu ghafla ila najaribu kujiaminisha ukimya wao wanautumia kupanga mashambulizi mazito kama walivyosema wahenga kimya kikuu kina mshindo mkuu