Nape: CCM ikiendelea hivi wananchi hawatairudisha madarakani

Screenshot_20170511-142101.png
 
Nape kwani uchaguzi wa 2015 ilikuwaje? nani alishinda? Nape unayofanya sasa ni unafiki mtupu! Kule kwetu kuna msemo usemao kuwa ' ukiwa mwongo na ndumi la kuwili ujanani, ukizeeka lazima uwe mwanga'.
 
Ni kweli CCM inatakiwa kutimiza ahadi zake ilizoahidi wakati wa campaign.

Inawezekana isitimize ahadi zote kwa asilimia 100 lakini tutaka angalia kiwango cha asilimia zake. Kama ni above 75% itakuwa imefanikiwa.
Kwani yote yatategemea ufanisi wa serikali.

Kitendo cha wewe kila ukisimama kuchangia hoja na kusema ispo fanya hivi wananchi hawatairudisha mamlakani hakijakaa Sawa.

Wewe pia ni CCM ni jukumu lako pia kuhakikisha ahadi mlizoahidi wakati wa campaign zinatimilika na si kulalamika baada ya kutemwa u minister.

Mwisho nikuulize ulipokua katibu mwenezi hapo miaka ya nyuma ahadi zilifanikiwa kwa kiwango gani mpaka mkawa kila baada ya miaka mitano mnarudishwa mamlakani?, iweje mapema hivi iwe nongwa kwa Magufuli?
 
Nape Nnauye amesema serikali ilipoingia madarakani iliongeza mapato, kupunguza matumizi yasiayo ya lazima na tunaambiwa uchumi unakua kwa asilimia 7.2 lakini haya hayatakua na maana kama hayatatafsiriwa kwenye kuboresha huduma za jamii hasa maji
Amesema tunatakiwa tuone matokeo ya hatua hizi kwenye maboresho ya huduma za kijamii hasa maji la sivyo hazina maana
Amesema bajeti iliyopita imetengwa bilioni 900 na bajeti hii bilioni 600 hapo watanzania hawawezi kuilewa na ukuaji wa uchumi hauwezi kubaki kwenye makaratasi
Amesema ilani ya CCM ndio mkataba kati ya CCM na wananchi na wasiposhughulikia kama walivyoahidi basi wananchi hawatawarudisha

Maji hayakuwepo miaka mingi tu ....na ccm imeendelea ku survive aache kutuzingua
 
Rejea kauli ya Kitwanga jana alisema hivi kwa sasa ana uhuru wa kuongea kule alikuwa anabanwa, hivyo hivyo kwa Nape ss hivi anaweza kuikosoa Serikali apendavyo mwache aendelee kwani kuna tatizo
 
Amesema bajeti iliyopita imetengwa bilioni 900 na bajeti hii bilioni 600 hapo watanzania hawawezi kuilewa na ukuaji wa uchumi hauwezi kubaki kwenye makaratasi
Amesema ilani ya CCM ndio mkataba kati ya CCM na wananchi na wasiposhughulikia kama walivyoahidi basi wananchi hawatawarudisha

Muda mwingine mimi Waheshimiwa Wabunge mimi siwaelewi kabisa.
Hivi hizo 900 bilioni bajeti iliyopita zilipatikana zote?
Kama hapana kwanini tulalamike hizi 600bilioni. Usipoishi kwa uwezo wako ndiyo hayo ya kuwa omba omba.
 
Mbona wananchi tuliacha zaman sana kuwapa madaraka hawa ccm lakn wanapewa madaraka ktoka kwa mafisad ili kulinda maslah yao.
 
waache waendelee kumbeza tu uyo polepole na bashite hata kujielezea hawawezi ndo wanategemewa waipige debe ccm kama alilopiga nape na kinana? maweeee mwafaaa anandaeni jeshi liwasaidie tu
 
Anapoza maumivu hana jipya!
Raha ya goli la mkono umfunge mwenzako ukifungwa wewe unaliaeee!
Mwiba unapoingilia ndipo unapotokea.
 
Ninachoona watanzania wengi hasa vijijini ni rahisi kudanganywa, wamepofushwa kuzoea hali zao, hawajui kuwa wana hali mbaya na hawajui kwamba kuna maisha bora zaidi ya hayo. Wamekuwa blackmailed. Ni ngumu kuwatoa kwenye giza lililowafunika
 
Nape Nnauye amesema serikali ilipoingia madarakani iliongeza mapato, kupunguza matumizi yasiayo ya lazima na tunaambiwa uchumi unakua kwa asilimia 7.2 lakini haya hayatakua na maana kama hayatatafsiriwa kwenye kuboresha huduma za jamii hasa maji
Amesema tunatakiwa tuone matokeo ya hatua hizi kwenye maboresho ya huduma za kijamii hasa maji la sivyo hazina maana
Amesema bajeti iliyopita imetengwa bilioni 900 na bajeti hii bilioni 600 hapo watanzania hawawezi kuilewa na ukuaji wa uchumi hauwezi kubaki kwenye makaratasi
Amesema ilani ya CCM ndio mkataba kati ya CCM na wananchi na wasiposhughulikia kama walivyoahidi basi wananchi hawatawarudisha

ngoja baba jesika amsikie
 
Kumbe mawaziri wakiondolewa uwaziri wanatetea sana watu wao angalia kitwanga nae amesema atazima mitambo ya maji asipopata maji. Kwa kweli wakati umefika wabunge wasiwe mawaziri ili watimize majukumu yao vizuri. Wanamtama kwa nape na wanamisungwi kwa kitwanga wanaenjoy sasa kuona wabunge wao wakiwatetea kwa nguvu kuliko hapo kabla.
 
Back
Top Bottom