Nape: Bajeti Mbadala ya Kambi ya Upinzani inadhihirisha uongo wa CHADEMA

Ni vigumu kushawishika kuwa hii forum ni ya great thinkers..,nilijaribu kuifatilia hii post na comments zilizofata.,nimeweza kugundua kuwa walio wengi ambao wanachangia hawana hoja za msingi bali hisia za chuki na ukaidi..,hakuna comments isipokuwa moja tu ambayo imejaribu kuainisha majibu ambayo at least yanaleta sense.,hii inanipa picha kuwa tunawanamipasho zaidi humu ndani kuliko wajenga hoja...!
 
Nape ni mtoto sana, siasa za bongo waachie wabongo wenyewe na kama una mengine useme bayana usisumbue vichwa vya watu. Kwani huwani hao mafisadi walioimaliza nchi mpaka inatepeta kwa kukosa mwelekeo unapoteza muda na Dr. Slaa, umeshiba eee.
 
watangazaji wa TBC wote ni vibaraka hvo hufanya yale wanayoamliwa............poole bro Tido kwa unafki wako
 
Mikole007 acha uongo..coment zote zimejibu maswal yake..kwa sababu maswal yake yana sehem mbil hoja na kejel..kwa hyo na yeye kapata majibu mawil ya hoja na kejel..acha uvivu soma vzur utaona
 
Mhhhhhhhhhhh kazi ipo ilakumbuka nape= achebe
Hana pointi za msingi.kwa wale wasomaji wa vitabu, mwandishi maarufu wa vitabu ""CHINUA ACHEBE''' HAwezi kua na Mawazo kutu kama NEpI. cHINUA ACHEBE AMEANDIKA VITABU KAMA a man of the people,things fall apart, sasa kwa waliosoma vitabu vya mwandish yule watakubaliana na mimi Kuwa NEpI anashusha hadhi ya jina la mzee Achebe,mana ni mtu mwenye mawazo ya ki_activist,bt NePI anamawazo ya ya ki ant_vist.
 
huyu dogo bwana, CCJ imemshinda ataiweza CCM? labda aanzishe CCK au CCT, maana inaonekana anapenda sana chama chenye CC, huku CDM dogo hutapaweza.
 
Huyo ndio nape bwana. Tunao wakina nape wengi huko sisiemu ndio maana tumefika hapa tulipo hakuna kinachoendelea kwa hiyo msishangae sana
 
Huyo mkurugenzi mpya wa TBC ni bomu kweli kweli. Na bado tutashuhudia madudu mengi zaidi chini ya uongozi wa hili bomu. Sisi wengine tulishaacha kuangalia TBC siku nyingi sana kama tulivyoacha kusoma gazeti la HabariLeo. Ujinga wao unafanana fanana.
 
Basi bora anyamaze kwani lazima aongee?halafu akumbuke wale ni wapinzani na sio chama kinachoongoza nchi,sasa watatekeleza ilani yao kivipi?Mbona bado kijana mdogo halafu anamambo kama mtu ambaye amezeeka kiasi kwamba akili zimeanza kuwa kama mtoto.Aangalie kina Zito ikiwezekana akaulize wenzake wanafanyaje ili apate tuition.Maana huruma halafu aibu kuwa na kiongozi mwenye pumba kiasi hicho.ilitakiwa tumtimue kwenye chama aende CCJ
 
Nimevumilia nimechoka! Sasa nawaulizeni enyi TBC, Nape ni nani hasa hadi apewe air time kila siku katika chombo hicho cha habari na kutueleza pumba zake. Imefikia wakati mnadhani chombo hicho ni mali ya mtu ama kikundi cha watu. Nawakumbusheni kuwa chombo hicho ni mali ya umma na kinaendeshwa kwa kodi zetu hivyo badilikeni. Toeni habari kwa kubalance na sio kuwaongoza wananchi waelewe vile mnavyotaka ama mlivyoelekezwa kuwaelewesha.
kujibu swali lako. Nape ni katibu mweneze wa CCM (chama kilichopo madarakani kihalali kwa ridhaa ya wananchi). Finito.
 
1. Nape amekuwa mkurupukaji na anae nusa harufu huku akiacha uvundo uvunguni kwake. Rejea kagoda, richmond, meremeta na kiwira.
2. Msaliti na mroho wa madaraka. Rejea ccj, kelele nyingi kuhusu ufisadi alipopewa ukuu wa wilaya akapiga kimya.
3. Hana uwezo wa kujibu hoja kwa hoja kwa uzito wa mizani za hoja. Rejea alicho ita hadaa ya mapendekezo ya Zitto, amesahau kuwa JK ameahidi lundo la ahadi ambazo hata kwenye 5yearz planz hazipo.
3.
Ongeza nyingine...
 
kujibu swali lako. Nape ni katibu mweneze wa CCM (chama kilichopo madarakani kihalali kwa ridhaa ya wananchi). Finito.

Kwa hiyo wamiliki wa TBC ni wale wanaomiliki magazeti ya uhuru/mzalendo pamoja na redio uhuru?

My question would rather read like this: "What is is Nape in this country?".
 
Huyu dogo wa singida sijui ana matatizo gani.
Kazi ya kukusanya kodi si ya chadema ni serikali ya ccm na tra yake.marupurupu anayolipwa dr ndio mfumo mbovu unaolalamikiwa.kulipa kodi kwa dr siosuluhisho kwani ni wengi wanaopekea hizo hela.hapa ni kupambana na mfumo ccm.
Nape unajichanganya sana na ili ujue ulivyo mnafiki hata jamvini huji tena kama wewe ila unatuma vibaraka wako.
Tunataka posho zote ziingie kwenye mfumo rasmi wa mishahara ili zikatwe kodi,mifuko ya hifadhi ya jamii(ingawa kwa tz ni wizi mtupu)na ikifikia mtu amestaafu apate pensheni inayoweza kukidhi aisha kwa wakati huo.
 
Nimevumilia nimechoka! Sasa nawaulizeni enyi TBC, Nape ni nani hasa hadi apewe air time kila siku katika chombo hicho cha habari na kutueleza pumba zake. Imefikia wakati mnadhani chombo hicho ni mali ya mtu ama kikundi cha watu. Nawakumbusheni kuwa chombo hicho ni mali ya umma na kinaendeshwa kwa kodi zetu hivyo badilikeni. Toeni habari kwa kubalance na sio kuwaongoza wananchi waelewe vile mnavyotaka ama mlivyoelekezwa kuwaelewesha.

bado hawajajivua gamba.
 
jamani cha msingi ni kwamba sasa umefika wakati CDM kuanzisha TV na Radio yakeeeeeeeeeeeee, achana na wanafik
 
Back
Top Bottom