Nape azomewa mkutanoni Kasulu

now i understand why TUMAINI divorced him! nonsense!
 
Anaanza kujibu suala la Mafisadi na siku 90,

Nape amesema yeye hakusema siku 90 walioandika ni waandishi wa habari, hatua walizochukua ni kuvunja kamati kuu na wajumbe wa halmashauri kuu ya taifa wanatoka kila wilaya, wananchi wanamzomea hapa vp mafisadiiiiiiiii?

Kimsingi hakuna anachokijibu hapa anarukaruka tu anasema wameanzisha utaratibu wa Chama kusimamia serikali.
 

Hayo maswali atajibuje hahahaaa
 
joe5 Waha hawana mchezo.
 
Last edited by a moderator:
Kweli nape ni kilaza anasema watu hawakuelewa maana ya kuvua gamba, anasema wamefukuza wakandarasi, wamefukuza na mwisho anamtamka Rostamu
 
Kwa sbb anajua Kigoma wanampenda ZZK anasema angalia Zitto anavyobaguliwa CDM, angalia Chadema walivyomfanya Wangwe hawa watu hawafai kwenda Ikulu.
 

Lete updates ya swali kuua reli?
 
Hhehehhehe sasa huku ni unafki wanajidai hawapendi ccm halafu walienda kufanya nn kama sio sitaki nataka hhehehhe yangoswe muachie ngoswe
 
Jamani hawa watu wa CCM ni mat....a....a.....hira huyu mbunge analalamika eti wananchi wamsamehe kama kuna vitu hakuvifanya zamani sasa kwa vile yuko nje anayaona matatizo ya wanaKasulu na sasa akirudi atashughulikia vizuri.

ccm imejaa vilaza
 
Hhehehhehe sasa huku ni unafki wanajidai hawapendi ccm halafu walienda kufanya nn kama sio sitaki nataka hhehehhe yangoswe muachie ngoswe

Kwenda kwenye mkutano si kupenda CCM...walikwenda kupata Habari..na kusikiliza sera, bahati mbaya wamekutana na matusi na kashfa za Nape.
 
Hhehehhehe sasa huku ni unafki wanajidai hawapendi ccm halafu walienda kufanya nn kama sio sitaki nataka hhehehhe yangoswe muachie ngoswe
Wameenda kusuta uongo na unafiki.

Mpaka Nape ajirekebishe na kurudi kwenye siasa za kiungwana.
 
Si alisema watu wakimzomea atawatia makofi. Vipi huko hajawatia makofi?
 

hayo maswali ni mazito ,namuonea huruma Nape
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…