Nape azomewa, Kinana amshusha jukwaani

Nape ni mjinga sana anadhani watu wanaoenda kwenye mikutano ya CCM wanaenda kumsikiliza yeye,Kwa taarifa yake hao watu wanaenda kumsikiliza Kinana ambaye kidogo anajitambua,Vilevile hao si wana CCM tu wapo watu wanaenda kusikia hoja Na sio kuzungumzia VIROBA hiyo sio HOJA.Badilika kijana Nape unakula maharage gani yanayoendelea kukugeuza kuwa mpumbavu.
 
NAPE CHAMA CHAKE KIMEUA VIWANDA vyote nchi nzima alafu hajui kwa nini vijana wenzake wanashinda kwenye viroba na anadhani vijana wanafurahia hayo.Na alivyo mpumbavu akiona mkutano una nyomi anajua anaongea na Wajinga nadhani amejifunza sasa.
 
Mwaka huu zomeazomea mbona imeanza mapema sana
 
Kwanini wanazomea tu hawakwenda mbali zaidi?
Na mimi nilikuwa nawaza hivyo hivyo. Unajua viongozi wengi wa CCM wanadharau sana wananchi. Wengi wakipanda majukwaani wanaanza kuwashambulia wananchi kuwa wamekunywa viroba. Yaani wao wanataka kila mwananchi awe na mawazo kama yao na chama chao kitu ambacho hakiwezekani. Halafu wanasahau kuwa serikali inategemea viroba kupata kodi na yenyewe ndiyo imevipitisha vinywewe hivyo kama ni kunywa vasi ilianza serikali kwanza. Si ajabu hata gharama wanazotumia katika ziara yao zinatokana na viroba kwa CCM inapewa ruzuku na serikali ambayo ndiyo inayokusanya kodi mbali mbali zikiwemo za viroba hivyo kumdharau mnywa viroba ni kama kutoboa mtumbwi ulioupanda katikati ya bahari. Ni bahati mbaya chama kimempa nafasi mjinga kuwa ndiyo mwenezi wake
 
Mwaka huu wanasiasa wote matapeli na wasaliti watazomewa. Wazomewe tu,hakuna namna nyingine. Chichidodo!

Mkuu naona kinana anaweza ku mdrop nape toka kwenye ziara zake maana anampa wakati mgumu.
 
chaikavu

Hii source ya habari ina ugomvi na serikali iko bias inashambulia upande inaouchukia. Hata siku moja usiamini habari zao kichwakichwa.

Wewe tupatie ukweli wa jinsi ilivykuwa.alizomewa au hakuzomewa?
 
Last edited by a moderator:

Nape ni vuvuzela la lumumba
 

Kumbe mna uhakika kuwa yeye ndiye atakaye pitishwa?tunashukuru kwa taarifa mkuu!
 

Kule kuna oluochi na mkoba,nape hawezi fit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…