Ni kweli KWA VIPIMO VYA MAGWANDA SINA SIFA MAANA WAO LAZIMA UJUE KUSEMA UONGO, UZUSHI, UMBEA ,UKANDA NA UKABILA NA UJUE NAMNA YA KUSHAWISHI WATU KUCHANGA TSHS MBILIMBLI HUKU MKIWAAMBIA HAWANA PESA HATA ZA DALADALA! hizo sifa sina, so you are right!

Naamini kabisa ccm ikitumia vyombo vya habari kutangazia umma kama walivyofanya chadema umati utazidi maradufu
Katibu mwenezi wa Ccm bwana nape nauye amezindua movement ya 'vua gamba vaa uzalendo' ameongea hilo katika eneo la Misenyi mkoani Kagera.
Source:chanel 10 taarifa ya habari saa 1usiku.
My take kweli magamba hali yao ni mbaya mwaka huu wanalo! Magamba kwishney! Lol!